Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam (Nabii) na Spika zake ambapo wote wanapoanza kuongea utatamani gari ije faster uondoke.
Pichani hapo anaweka sawa Spika yake wakati msaidizi wake akiendelea kutoa Mapepo.
Pichani hapo anaweka sawa Spika yake wakati msaidizi wake akiendelea kutoa Mapepo.