Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema....apewe tu Sadaka jembe huyoBora huyu kuliko mwanaume anayeamua kugeuza matako afanywe apate hela
Au mwanamke anayegeuza sehemu za siri kama source of income
Yaani naheshimu sana hela ya mwanaume anayepambana naheshimu sana wapambanaji wenzangu
Vyuoni mashulen Pana taratibu zake pia huko vipo vipondi vya Dini na makongamano ya dini.Eti WITO!! Halafu haka kaneno ndio mnakokatumia sana kuhalalisha kuhadaa na kuaminisha watu. Utasikie eti " yule baba ana wito"
Kama ni wito ni kwanini basi hamuendi kuhubiri maeneo ya Shuleni na vyuoni kwenye wanafunzi wengi , au kwavile hawana hela!!? Ni kwanini kila mnapohubiri hamuachi kuhamasisha watu kutoa hela , tena kwenye utoaji utakuta nikutishana na kupewa awadi kuwa utaombewa upate mafanikio.
Sikuwahi kusikia kama alikusanya sadaka. Zaidi nilichosikia alihamasisha upendo na kusaidia masikini. I wish hawa watumishi wangejikita kuwataka watu kupenda kufanya matendo mema na kusaidia wenye shida, masikini nk, lakini leo hii wao nikuhamasisha tutoe sadaka kwa ajili yao. Angalia hata makanisani ni kuhamasisha michango kwa ajili ya kujenga miradi na magorofa . Sipingi kutoa na wala sipingi maendeleo ya watumishi na taasisi bali NINACHOAMINI MIMI NI KWAMBA YANAYOFANYIKA SASA SIO ALIYOAGIZA KRISTO. Leo hii dayosisi inaalika mtumishi kutoka dayosisi nyingine kuja kuhamasisha matoleo/fedha lakini hawezi kuitwa kuhamasisha kuishi maisha yanayompendeza Mungu na kuacha dhambi.Yesu alikusanya sadaka?...alipitisha kapu la mchango.?
Sawasawa 👍Sikuwahi kusikia kama alikusanya sadaka. Zaidi nilichosikia alihamasisha upendo na kusaidia masikini. I wish hawa watumishi wangejikita kuwataka watu kupenda kufanya matendo mema na kusaidia wenye shida, masikini nk, lakini leo hii wao nikuhamasisha tutoe sadaka kwa ajili yao. Angalia hata makanisani ni kuhamasisha michango kwa ajili ya kujenga miradi na magorofa . Sipingi kutoa na wala sipingi maendeleo ya watumishi na taasisi bali NINACHOAMINI MIMI NI KWAMBA YANAYOFANYIKA SASA SIO ALIYOAGIZA KRISTO. Leo hii dayosisi inaalika mtumishi kutoka dayosisi nyingine kuja kuhamasisha matoleo/fedha lakini hawezi kuitwa kuhamasisha kuishi maisha yanayompendeza Mungu na kuacha dhambi.
Ukiweza kucheza na psychology ya mwanadamu umeshinda.Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam (Nabii) na Spika zake ambapo wote wanapoanza kuongea utatamani gari ije faster uondoke.
Pichani hapo anaweka sawa Spika yake wakati msaidizi wake akiendelea kutoa Mapepo.
View attachment 2678176
Hasa maskini na mwenye changamoto mbalimbali.Ukiweza kucheza na psychology ya mwanadamu umeshinda.
Watu wa design hii ni rahisi kuwa manipulatedHasa maskini na mwenye changamoto mbalimbali.