Mpeni sadaka zake bwana,mbona mnakuwa wachoyo hivyoHapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis , huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka.
Picha hiyo anaweka sawa Spika wakati msaidizi wake akiendelea kutoa Mapepo mbalimbali.
Hapo ni foleni ya kusubiri mwendokasi ya Kariakoo. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam(Nabii) na Spika zake ambapo wote wanapoanza kuongea utatamani gari ije faster uondoke
Yuko kazini kama mpiga debe konda asipo mpa 200 vita hata waubili hivio hivioKwahyo unataka kuniambia huyo anatafuta Hela, usipende kuwaaminisha wenzako unacho amini ww kama wewe huamini katika mahubiri yake ni vema kukaa kimya kuliko kumdhihaki mtu na kuwapotosha watu.
HaaaahaaaMpeni sadaka zake bwana,mbona mnakuwa wachoyo hivyo
Maadam Mungu amenipa akili na hekima ya kujua mbivu na mbichi hainipi shida kumjua mhubiri wa kweli.Kwahyo unataka kuniambia huyo anatafuta Hela, usipende kuwaaminisha wenzako unacho amini ww kama wewe huamini katika mahubiri yake ni vema kukaa kimya kuliko kumdhihaki mtu na kuwapotosha watu.
HaaahaaaUyo jamaa si Shabani iyo? Namjua. Kesho ukipita muite Shebby.
πππππKuna mchungaji mmoja anapandaga coaster za posta, akahubiri kwenye daladala alivyomaliza akaanza kuchamba wale ambao hawajatoa sadaka, akasema endeleeni kuficha sadaka zenu, akawa anafoka. Anasema na mnaojifanya mmelala , endeleeni kulala. Nikasema khaaa.
Eti WITO!! Halafu haka kaneno ndio mnakokatumia sana kuhalalisha kuhadaa na kuaminisha watu. Utasikie eti " yule baba ana wito"Hela bila wito jaribu na wewe kama ni rahisi
Sawasawa πMaadam Mungu amenipa akili na hekima ya kujua mbivu na mbichi hainipi shida kumjua mhubiri wa kweli.
Wewe siku fika Stand ya daladala Mbezi uwaangalie nusu saa tu halafu urudi hapa, vinginevyo kichwa chako kiwe ni nazi koroma.
Na watu wa akili yako ndio walio wengi sana hapa kwetu Tz na Africa. UJINGA MWINGI SANA
Yesu alikusanya sadaka?...alipitisha kapu la mchango.?Eti WITO!! Halafu haka kaneno ndio mnakokatumia sana kuhalalisha kuhadaa na kuaminisha watu. Utasikie eti " yule baba ana wito"
Kama ni wito ni kwanini basi hamuendi kuhubiri maeneo ya Shuleni na vyuoni kwenye wanafunzi wengi , au kwavile hawana hela!!? Ni kwanini kila mnapohubiri hamuachi kuhamasisha watu kutoa hela , tena kwenye utoaji utakuta nikutishana na kupewa awadi kuwa utaombewa upate mafanikio.
Duh..Uyo jamaa si Shabani iyo? Namjua. Kesho ukipita muite Shebby.
Wanatafuta pesa.Kwahyo unataka kuniambia huyo anatafuta Hela, usipende kuwaaminisha wenzako unacho amini ww kama wewe huamini katika mahubiri yake ni vema kukaa kimya kuliko kumdhihaki mtu na kuwapotosha watu.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huyo hapendagi ujingaKuna mchungaji mmoja anapandaga coaster za posta, akahubiri kwenye daladala alivyomaliza akaanza kuchamba wale ambao hawajatoa sadaka, akasema endeleeni kuficha sadaka zenu, akawa anafoka. Anasema na mnaojifanya mmelala , endeleeni kulala. Nikasema khaaa.