Nchi hii ushindwe tu Mwenyewe kutafuta chimbo la hela. Jiite tu Nabii

Bora huyu kuliko mwanaume anayeamua kugeuza matako afanywe apate hela
Au mwanamke anayegeuza sehemu za siri kama source of income

Yaani naheshimu sana hela ya mwanaume anayepambana naheshimu sana wapambanaji wenzangu
Umenena vyema....apewe tu Sadaka jembe huyo
 
Kila mtu anakula kazini kwake... Relax
 
Vyuoni mashulen Pana taratibu zake pia huko vipo vipondi vya Dini na makongamano ya dini.
Kutoa ni hiari,maana kutoa sadaka ni ibada
 
Yesu alikusanya sadaka?...alipitisha kapu la mchango.?
Sikuwahi kusikia kama alikusanya sadaka. Zaidi nilichosikia alihamasisha upendo na kusaidia masikini. I wish hawa watumishi wangejikita kuwataka watu kupenda kufanya matendo mema na kusaidia wenye shida, masikini nk, lakini leo hii wao nikuhamasisha tutoe sadaka kwa ajili yao. Angalia hata makanisani ni kuhamasisha michango kwa ajili ya kujenga miradi na magorofa . Sipingi kutoa na wala sipingi maendeleo ya watumishi na taasisi bali NINACHOAMINI MIMI NI KWAMBA YANAYOFANYIKA SASA SIO ALIYOAGIZA KRISTO. Leo hii dayosisi inaalika mtumishi kutoka dayosisi nyingine kuja kuhamasisha matoleo/fedha lakini hawezi kuitwa kuhamasisha kuishi maisha yanayompendeza Mungu na kuacha dhambi.
 
Sawasawa πŸ‘
 
Ukiweza kucheza na psychology ya mwanadamu umeshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…