Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora waachwe tu kuwafukuza hao watu mjini watasababisha janga lingine mitaji yao ni midogo mnavomfukuza chinga mpaka aje apate eneo lingine mtaji unakuwa umekata
Watu wanakaa maofisi muda wote hawajawahi kuuza ata nyanya wengine watoto wa vigogo hivyo kwao itakuwa kero ni busara kuvumiliana
We unatakaje ... ? Demokrasia maana yake ndo hiyo..!
Hili ni muhimu mkuu fanyeni hivyo 😂😂😂So abiria wasimame barabarani kupisha vibanda vyao
Kuna ubaya wa mtu nachuki juu ya mtu. Zaidi ya 30% ya barabara za rami nchini zimejengwa magufuri akiwa kwenye hicho cheo. Hivyo mbona mi siyaoni hayo mabarabara yasiyo na nafasi ya mtembea kwa miguuJiwe alivyokuwa waziri wa miundo mbinu alikataa kabisa njia/barabara za waenda kwa miguu zisijengwe eti ni anasa.
Utashangaa wakuu wa mikoa wapo na serikali ipo ila kimyaaaa, wako bize kuibia nchi na wananchi wake.Nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.
Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.
Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga.
Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.
Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
Wanunuzi wengi ni wafanyakazi wa maofisini. Muda wa kwenda kule hawana. Hao jamaa inaonekana ni msaada kweli kwao. Nenda Mbagala mwisho uone.Dar kuna masoko ya kisasa kabisa yanajengwa lakini watu mabarabarani hawapungui, kuna soko kubwa kabisa pale karibu DIT, magomeni usalama napo pana soko la kisasa. Hao watu wapungue aisee.
Sasa imekua ni kawaida kufungua biashara kwenye njia ya waenda kwa miguu. Bodaboda zinapita huko baiskeli zinapita uko, kukiwa na foleni gari ndogo pia zinapita uko,gutaa yaani sasa inageuka kua kama uwanja wa vita myembea kwa miguu unakwepa mishald tu ukikaa vibaya boda anakuvaa au ukanyage bidhaa za watu bahati mbaya ulipishwe kwa makusudi.
Kwahiyo nchi ni ya watu wa maofisini tu?? Tufate sheria sio mazoea mkuu.Wanunuzi wengi ni wafanyakazi wa maofisini. Muda wa kwenda kule hawana. Hao jamaa inaonekana ni msaada kweli kwao. Nenda Mbagala mwisho uone.
Mkuu Igombe fisherman jina lako limenikumbusha IGEMBE SABOKuna ubaya wa mtu nachuki juu ya mtu. Zaidi ya 30% ya barabara za rami nchini zimejengwa magufuri akiwa kwenye hicho cheo. Hivyo mbona mi siyaoni hayo mabarabara yasiyo na nafasi ya mtembea kwa miguu
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni company ya mabasi. Nalimhola gete ong'wise
Hao ni Wapiga Kura.Nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge.
Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge.
Siku hizi abiria inabidi wasimame barabarani kusubiri daladala maana vituo vya abiria vyote vimegeuzwa maduka ya wamachinga.
Sehemu za wapita kwa miguu ndipo palipotandazwa biashara za watu.
Najiuliza kwanini nchi hii inapendelea hivyi.
Sisi tumezalishwa Watoto tunalea wenyewe. Tutawapa nini mkituondoa?ukiwafukuza wana msemo wao kuwa sisi ni wajane tunasomesha tumekopa tutaenda wapi