Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao.
Walistahili ushindi kwakuwa wameupiga mwingi mpaka ukamwagika, Master Nabi ni bingwa wa kumsoma mpinzani na akamuadhibu vikali, game plan aliyoingia nayo leo imewashangaza wengi lakini imelipa baada ya kuwasoma vizuri TP Mazembe.
Na nafikiri walikuwa na bahati tu ilikuwa wapigwe 5, lakini umakini wa wachezaji wa Yanga kwenye umaliziaji umewanusuru.
NB: Boli limepigwa na magoli yamefungwa bila hata kurudi kinyume nyume na basi na wala watu hawaringi!