Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Mahindi ndio chakula kikuu.
huyu mwandishi alitaka gunia auze shilingi ngapi?
Hv anafikiri gunia ghafi la mahindi liuzwe mathalani laki nchi itakalika? Hio si ni njaa automaticaly.
Bei ikisogea huko ni vilio vya njaa kila kona.
na bado serikali hiyohiyo haitaepuka kulaumiwa kama anavyolaumu jamaa.
huyu ni kijana ama mbinafs ama hajaish vijijini.
Kama anataka aongeze thaman ya mazao yake asage auze unga.
au ayareserve hayo mahindi yakiadimika auze.
tena ni miezi michache tu.
mahindi huwa na trend ya kuadimika kwny nyakat fulanfulan kila mwaka kwasab ya uhitajikaji wake.
Na wakati mwingne hatuambizani ukweli.
kwamba bei ya mahindi ipo chini kwasab ya closure ya mipaka sio kweli!
Mvua ilitwanga kotekote.hata huko kwa majirani mahindi YAPO.