Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

Ubongo wako upo hai kweli?? leo mafuta yapo juu kwa hiyo alime leo kesho avune au auze??
Screenshot_20210914-212951.jpg
 
Hata wakienda vyuo vikuu ni Kazi bure,hii nchi imekaririsha watu kuajiriwa na mbaya zaidi kwenye soko la ndani tuu hakuna mtu anawaza soko la nje wala biashara
Hamna ajira shule hailipi sikuhizi ila wapuuzi wamekazana kujenga madarasa badala ya kutengeneza sera nzuri za vijana kujitegemea na kuwawezesha!

Wanapoongeza madarasa watengeneze na mazingira ya hao wanafunzi kujitegemea baada ya shule!
 
Ulaya mahindi ni chakula cha ng’ombe wewe
Ndio nilikuwa nawaambia hapo watu kwamba mahindi sio chakula cha binadamu ni kwa ajili ya ng'ombe na nguruwe..

Sasa Ili yawe na tija tukuze sekta ya ufugaji na hili ni rahisi kama Serikalini iko serious kuhimiza ufugaji wa kisasa hasa wa nyama..

Watu wanashindwa kula nyama kwa sababu bei ziko juu ila mifugo wangekuwa wengi bei zingekuwa nafuu kwa sababu chakula Chao kingekuwa kinapatikana kwa nafuu pia..

Tofauti na hapo itakuwa kilio kila mwaka.
 
Hamna ajira shule hailipi sikuhizi ila wapuuzi wamekazana kujenga madarasa badala ya kutengeneza sera nzuri za vijana kujitegemea na kuwawezesha!

Wanapoongeza madarasa watengeneze na mazingira ya hao wanafunzi kujitegemea baada ya shule!
Tunatoa lawama kwa sababu watoto wakikosa nafasi watafanya nini?

Elimu iangaliwe upya ,dhana ya kuajiriwa ipunguzwe vichwani badala yake tuhimize kujiajiri kwenye sekta mbalimbali sio kuwa machinga ..

Binafsi naona sekta ya ufugaji ina nafuu kuliko kilimo,tufanye biashara za kuvuka mipaka nk
 
Mtoa mada haupo serious.

Point namba 2 unakosoa uwepo wa vyuo vya afya vinavyoandaa wataalamu wa afya, ila point namba 3 unakosoa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za kijamii bila kuandaa watu wa kutoa huduma hizo.

Halafu, alikuambia nani kwamba mahindi yana bei nzuri kipindi cha mavuno?

Ukivuna mahindi ni sharti uyahifadhi ghalani kusubiri bei nzuri.

Mahindi huuzwa bei nzuri Kati ya January hadi April. Sasa umekurupuka halafu unakuja kulalamika humu.

Tumia akili!
 
Kuna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.

1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????

2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc. Nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere. Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.

3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.

4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.

5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....

6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hivi kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa

My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui.

Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa

Its soo frustrating.
Mtoa mada utafikir umeniona na mm maana nipo kitandani najiwazia yale mahindi yangu ya gobo jinsi vijana wanavyo nidengulia bei, dah, yaani muhindi nimeutunza wananiambia wananunua kwa 180 kwa hindi.
Nimeishiwa nguvu usingiz hauji
 
Piga hesabu ya bulk transport. Sasa gunia 10 unapeleka wapi? Wanachofanya watu ni wanajikusanya wanasafirisha in bulk kwa kulipia usafiri mmoja uliojaa mahindi tu.
Soma vizuri. Labda nikwambie tuu Mimi ni mfanyabiashara wa mahindi na hapo nimekupigia hesabu ya gunia moja kati ya mzigo mzima ambapo kwa Safari moja gari inabeba gunia 280-300
 
Soma vizuri. Labda nikwambie tuu Mimi ni mfanyabiashara wa mahindi na hapo nimekupigia hesabu ya gunia moja kati ya mzigo mzima ambapo kwa Safari moja gari inabeba gunia 280-300
Katakua kasomi kapo field sahiz kwa aunt yake achana nako.!
 
Hapana, siku hizi maarifa ya jinsi mambo yanaenda yako kila sehemu. Mbinu za uchumi zimekuwa tested na zimeonekana zipi bora zipi hazifai. Hizi zama si za kuendesha mambo kwa kubahatisha.

Always it is easier said than done.

Kusema ni rahisi kuliko kutenda.
 
ndiyo maana vijana wanakimbia vijijini kilimo hakiwalipi wanakuja mjini kuwa wamachinga.

Imefika hatua mjini machinga ni wengi kuliko watembea kwa miguu kwasababu tuna sera mbovu ambazo hazimlindi mkulima.
Mkuu kwa ujumla mkulima wa TZ anashida sana. Mazao bei ya chini, mbolea na pembejeo bei ya kutisha.
 
ndiyo maana vijana wanakimbia vijijini kilimo hakiwalipi wanakuja mjini kuwa wamachinga.

Imefika hatua mjini machinga ni wengi kuliko watembea kwa miguu kwasababu tuna sera mbovu ambazo hazimlindi mkulima.
Mkuu kwa ujumla mkulima wa TZ anashida sana. Mazao bei ya chini, mbolea na pembejeo bei ya kutisha.
 
Mtoa mada haupo serious.

Point namba 2 unakosoa uwepo wa vyuo vya afya vinavyoandaa wataalamu wa afya, ila point namba 3 unakosoa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za kijamii bila kuandaa watu wa kutoa huduma hizo.

Halafu, alikuambia nani kwamba mahindi yana bei nzuri kipindi cha mavuno?

Ukivuna mahindi ni sharti uyahifadhi ghalani kusubiri bei nzuri.

Mahindi huuzwa bei nzuri Kati ya January hadi April. Sasa umekurupuka halafu unakuja kulalamika humu.

Tumia akili!
Umeongea kama unaishi Dallas, mahindi yapo mengi sana sokoni, na kwenye magodani yamehifadhiwa na kila msimu wanavuna mahindi usitengemee mahindi kupanda bei...

Na jamaa yangu kanunua mahindi tan zaidi ya 500 kwa elfu ishirini kwa gunia
 
Back
Top Bottom