Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

Hata wewe mkuu ungepewa hiyo dhamana mambo yangalikuwa hivyo hivyo tu au mabaya zaidi, shida ni aina ya watu tuliopo zama hizi labda kije kizazi kingine hapo baadaye kitakachofikiri nje ya Box.
Hapana, siku hizi maarifa ya jinsi mambo yanaenda yako kila sehemu. Mbinu za uchumi zimekuwa tested na zimeonekana zipi bora zipi hazifai. Hizi zama si za kuendesha mambo kwa kubahatisha.
 
Najaribu tu kujiuliza, kuwa wizara ya kilimo kazi yake ni nini? kwanini wizara isiwasaidie wakulima wake kupata masoko? Nchi tunayosema kuwa watu wake wengi ni wakulima inakuwaje tunakuwa watu wanapewa dhamana hiyo na bado wanashindwa kutengeneza mazingira ya masoko?
Alafu kuna Bashe katulia pale hakuna out put yoyote ,pindi hajapata wizara alikuwa anachalenge kweli lakini now mdebedp

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Mafuta ya kula yakipanda bei ni fursa kwako mkulima. Sasa lima alizeti upige pesa. Kuhusu mahindi NFRA wamepewa pesa wayanunue. Tafuta vituo vyao ukauze.
Ubongo wako upo hai kweli?? leo mafuta yapo juu ni sahihi, kwa hiyo alime leo kesho avune na auze??
Hiyo nfra fuatilia watanunua kwa watu baadhi hata tone hawawezi kumaliza tatizo la uwingi wa mahindi nchin.
 
Alafu kuna Bashe katulia pale hakuna out put yoyote ,pindi hajapata wizara alikuwa anachalenge kweli lakini now mdebedp

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Ni kama wewe ukiwekwa hapo utaishia kujilamba lips tuu ndio maana unalaumu na suluhisho huna..

Mambo ya uchumi yanahitaji watu wenye akili kubwa unfortunately tuko nje ya system
 
Walima mahindi hawakosi,mostly peasant, kijijini kila kaya inalima mahindi,ila huyu mwamba anaonekana ana exposure sema amekosa tu taharifa sahihi
Mahindi sio zao la biashara ni la chakula..

Chakula lazima ulime na zao la biashara lazima ulime
 
Zao kuwa la chakula haimaanishi haliwezi kukutajirisha.haya mahindi miaka ya nyuma yaliwatoa watu,mpunga umetajirisha watu,viazi mviringo,nyanya ni hela tu hizo
Yaliwatoa wakati nchi zingine zilikuwa hazizalishi sasa Hali imebadilika unakomaa tuu unategemea nini?

Zimbabwe ilikuwa inaongoza kuzalisha mahindi Sadc yote but kwa ajili ya chakula cha mifugo sio chakula cha watu,ugali sio chakula
 
Ugali ni nini
 
Lawama zote kwa Awamu ya Tano iliyowafanya wawekezaji na Wafanyabiashara maadui. Leo Kenya wananjaa lakini walishaagiza Mahindi Brazil, wanalima Congo na Zambia unayo ya kutosha. Ya kwetu tutapeleka wapi na hatuna Mifugo ya kuyamaliza
 
Back
Top Bottom