mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kuna miezi yake ,unalima kwa timing sio unalima muda wote broo,kuanzia december mpaka march tenga la nyanya halijawahi kuwa chini ya 50000Anamaliza kulima nyanya bei imeporomoka sokoni..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna miezi yake ,unalima kwa timing sio unalima muda wote broo,kuanzia december mpaka march tenga la nyanya halijawahi kuwa chini ya 50000Anamaliza kulima nyanya bei imeporomoka sokoni..
Kwa kujikimu ni sawa kabisa akime tuNi bahati kama unalima kwajili ya kujikimu ?
Apo sasa bado inatakiwa ukutane na wajuzi wa hii mambo Mkuu. Kulima nyanya sio kazi ya kitotoKuna miezi yake ,unalima kwa timing sio unalima muda wote broo,kuanzia december mpaka march tenga la nyanya halijawahi kuwa chini ya 50000
Serikali A na Serikali B.Tukiendelea na hiki kilimo cha kufunga mipaka ipo siku nchi itaingia kwenye njaa kubwa sana. Maana mwakani mtu kama wewe hutalima, wezee tu ndiyo watabaki kulima.
Inabidi upelekwe mswada Bungeni ambao itakuwa ni marufuku serikali kumzuia mkulima kuuza mazao yake atakako. Ukienda South Sudan, Congo au Kenya huwezi kuta gunia 30 elfu.
Kiufupi nchi yetu inaendeshwa kwa mazoea, hakuna cha ubunifu wala mipango yenye akili.
Tukiendelea na hiki kilimo cha kufunga mipaka ipo siku nchi itaingia kwenye njaa kubwa sana. Maana mwakani mtu kama wewe hutalima, wezee tu ndiyo watabaki kulima.
Inabidi upelekwe mswada Bungeni ambao itakuwa ni marufuku serikali kumzuia mkulima kuuza mazao yake atakako. Ukienda South Sudan, Congo au Kenya huwezi kuta gunia 30 elfu.
Kiufupi nchi yetu inaendeshwa kwa mazoea, hakuna cha ubunifu wala mipango yenye akili.
Jinga kweli wewe.chadema na kina zito ndo wanaongoza hii nchi.badala ujadili mada iliyopo mezani umekalia ujinga,chadema chadema.Kuna kipindi mahindi na mazao mengine bei ilikuwa juu sana.
Magufuli akaongea kwa ukali sana akasema kama unaona bei iko juu na wewe nenda kalime. Akaendelea kwamba wakulima ikiwezekana pandisheni tena bei, ni wakati wa wakulima nao kufaidi matunda ya kazi yao!
Aisee... Baada ya hii kauli chadema na kina Zitto na yale matahira yaliyokimbia nchi yalimtukana magufuli matusi yote unayoyajua.
Hitimisho:
Watz sisi ni watu wa ajabu sana! Hatujui tunataka nini, ndio maana kila siku nasema ukiwa kiongozi tekeleza wajibu wako ili siku zako za uongozi ziishe umuachie mwingine. Kwamba umeleta impact gani hiyo haikuhusu.
Kujaribu kuwapigania watz ni kujichosha bure.
Namshangaa sana hata Mbowe anapata tabu yote kisa nini? Kwa ajili ya hawa wajinga wa tz? Ambao mada yao kuuu ni simba na yanga?
Itakua chadema ndio wamefanya watu wasile ugali na kupunguza bei ya mchele.Uko hapo kwa shemeji yako unaelewa nini wewe?
Jana nilikuwa nataka nikachukue pumba mashinane kwa ajili ya kuku zangu.
Nsagaji akaniambia pumba hadi baada ya siku 3, kuuliza sababu, akanionesha rundo la viroba vya unga kwamba hadi viishe hivyo hapo na kwa maneno yake anasema watu hawali sana ugali maana mchele nao bei iko chini sana.
Mkuu kwanza pole sana kwa hali unayokutana mimi pia ilinikuta 2018.Luna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.
1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweeeli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????
2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc. Nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere. Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.
3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.
4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.
5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....
6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hivi kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa
My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui.
Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa. Its soo frustrating.
Masoko gani? Hakuna mtu atauza mahindi Ulaya yenye sumu kuvu na machafu..tukuze sekta ya kilimo.ili mahindi yapate soko..Najaribu tu kujiuliza, kuwa wizara ya kilimo kazi yake ni nini? kwanini wizara isiwasaidie wakulima wake kupata masoko? Nchi tunayosema kuwa watu wake wengi ni wakulima inakuwaje tunakuwa watu wanapewa dhamana hiyo na bado wanashindwa kutengeneza mazingira ya masoko?
Hata wakienda vyuo vikuu ni Kazi bure,hii nchi imekaririsha watu kuajiriwa na mbaya zaidi kwenye soko la ndani tuu hakuna mtu anawaza soko la nje wala biasharaMkuu ngosha/Mangi/Manka sababu ziko wazi,
1.Soko la mazao lilishuka kipindi Cha Mwendazake. Mnunuzi mkubwa wa mahindi ni Kenya mahisi unafahamu uhusiano wa Kenya na tz ulivyokuwa. Kenya akaopt kwenda Mexico.
2. Wanaomaliza kidato Cha nne wengi wanakosa nafasi za kidato tano. Ndalichako na Mwendazake wakaona alternative ni kuwapeleka vyuo kusomea certificates. Huko wengi wanaangalia kozi zenye fursa za ajira. Nazo Ni za afya.
No body cares.....yaani ukimuuliza mtu anaejua kilimo. Kulima ekari 20 is not a joke.......gharama tu zilizotumika hadi unapata mazao nimechoka guys,...
Nani wa kujenga? Hiyo ni Kazi ya sekta binafsi..Huyo unaemtaja hapa kajenga viwanda kwenye masoko sio wanakozalisha..Kwanini Bakhresa anaweza kununua mahindi na kufunga unga wa Azam wengine washindwe?
Mikoa inayozalisha mahindi ingejengwa viwanda vya kutwanga na kusaga mahindi. Ifungwe mifuko ya unga wa dona, sembe na mahindi yaliyokobolewa kwa walaji wa kande na kitheri.
Hii itazalisha ajira na wakulima watapata soko la mazao yao.
Wakiandamana ndio watafanya nn labda,Nigeria ,South kote wakiandamana kwani maisha yamebadilika?Tunakoelekea,kuna uwezekano wa namba ya waandamanaji kuishinda namba ya watakaokuwa tayari kuwavunja miguu
very sad.
Wewe ulitaka wawe na sera gani kwa mfano,pendekeza hapa tuoneKuna wataalam humu lakini hata shina moja ya mchicha hawana. Serikali ina sera mbovu sana katika kilimo huo ndio ukweli na ndio maana ktk nchi hii wakulima ndio kada maskini wa mwisho.
Binadamu hawako sawa,kama unavyoona vidole,kukiwa kwako kugumu,jua kwa mwenzako kwepesi,na siku kwako kukiwa kilwepesi jua kwa mwenzako kuzito.Ndoo dunia nzima ilivyo.Lazima kuweko maskini na matajiri,wenye kipato na wasio na kipato.Kuna hasi(negative)na kuna chanya (positive),toka dunia iiwepo,iko hivyo.Bila positive(chanya) na Negative(hasi)umeme haupatikani.Luna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.