Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

Mahindi ndio chakula kikuu.
huyu mwandishi alitaka gunia auze shilingi ngapi?

Hv anafikiri gunia ghafi la mahindi liuzwe mathalani laki nchi itakalika? Hio si ni njaa automaticaly.

Bei ikisogea huko ni vilio vya njaa kila kona.

na bado serikali hiyohiyo haitaepuka kulaumiwa kama anavyolaumu jamaa.
huyu ni kijana ama mbinafs ama hajaish vijijini.

Kama anataka aongeze thaman ya mazao yake asage auze unga.
au ayareserve hayo mahindi yakiadimika auze.
tena ni miezi michache tu.

mahindi huwa na trend ya kuadimika kwny nyakat fulanfulan kila mwaka kwasab ya uhitajikaji wake.

Na wakati mwingne hatuambizani ukweli.
kwamba bei ya mahindi ipo chini kwasab ya closure ya mipaka sio kweli!

Mvua ilitwanga kotekote.hata huko kwa majirani mahindi YAPO.
 
Ndugu yangu asante kwa hoja nzuri. Kwa kweli kabisa ukitegemea kilimo nchi hii kupata maendeleo ni ndoto. Kama una hela yako ni bora uanze kuwekeza kwenye vijumba vya kupangisha. Vinginevyo kwenye kilimo utapata shikizo la damu. Kwa mfano hizo gunia zako 200 za mahindi ukitoa gharama ulizotumia kulimia kwenye milioni sita unabaki na shs ngapi ? Ndio maana vijana wengi sasa vijijini hawataki kulima badala yake wamejikitika katika buashara ndogo ndogo na bodaboda.
 
Kazi iendelee.
Mamaa mama mama huyo mamaa mama huyo mamaa
 
Kenya wametangaza njaa ... vipi huko soko?
Ni kweli soko lipo sasa ukitaka kuchanganyikiwa nyanyuka na huo mzigo kabla hujafika namanga umeshachakaa...kodi, usafiri, na uwe na uhakika bei ya kule itakulipa.
 
Mkuu kuna jukwaa la kingereza nenda ukajadili huko na vingereza vyako,hapa wote waswahili.
 
CCM oyee !
Mkiitwa kufanya maandamano mnawaachia wapeba peke yao nyie machogo mnajiona mwamwinyi,serikali liyopo haishauriki maana imeshapotea njia mpaka wapate dikteta ndio wataongoza hivyo hivyo kuvutana.
 
Unaongea kama mtu ambaye hajitambui totally.Ngoja nikupitishe kidogo kukuweka karibu na uhalisia maana naona umekuwa driven na hizi cheap politics.Twende,mfano mdogo kuna mama mmoja hapa mkoani Ruvuma amelima na ana magunia 500 but chaajabu kaambiwa na NFRA kuwa watamsaidia kununua mahindi gunia 40 tu then the rest atafute masoko mwenyewe.Kwako Billion 50 zilizotolewa unadhani zinaenda kutatua changamoto kwa wakulima,HAPANA.Mifano iko mingi
Mafuta ya kula yakipanda bei ni fursa kwako mkulima. Sasa lima alizeti upige pesa. Kuhusu mahindi NFRA wamepewa pesa wayanunue. Tafuta vituo vyao ukauze.
 
Kuongoza Nchi sio mchezo, unatakiwa kiongozi kuwa na vision kubwa na akili haswa...hembu assess viongozi wetu wanaotoa maamuzi, ndio utajua tuko wapi Tanzania...khy haya yatokeayo tusishangae!
 
Mafuta ya kula yakipanda bei ni fursa kwako mkulima. Sasa lima alizeti upige pesa. Kuhusu mahindi NFRA wamepewa pesa wayanunue. Tafuta vituo vyao ukauze.
NFRA wanabunua kilo kwa 220, kea maana hiyo gunia la kilo 100 atduza elf20
 
We hujielewi huku dar wanauziwa unga sembe bei huu. Safirishwa mahindi Dar uuze bei nzuri acha ujinga
Watu wanapozungumza vitu vyenye maana nyinyi wenye akili ndogo acheni ujinga wenu kujibu. Unafikiri watu hawajui kuwa kuna Dar? Haya toa bei ya gunia kwa Dar ili kila mkulima alete Dar.
 
Yaani kulima kwa mazingira haya yetu, ni kama kutafuta umasikini kwa kulazimisha.
body cares.....yaani ukimuuliza mtu anaejua kilimo. Kulima ekari 20 is not a joke.......gharama tu zilizotumika hadi unapata mazao nimechoka guys,...
 
Uweke ruzuku ya nini kwenye kitu hakina tija? JK alijaribu huu upuuzi ikawa hasara tupu..

Lazima kulima Mazao ya kimkakati ya biashara sio chakula

Mbolea inahitajika kwa mazao karibu yote. Ruzuku inawekwa ku -support sekta muhimu za kimkakati kwenye uchumi wa nchi na maisha ya watu.

Ni kati ya vitu muhimu kabisa kwa kilimo endelevu, kuzuia njaa, kuongeza uzalishaji na ufanisi kipato cha mkulima, kodi kwa serikali, export (foreign currency).

Mazao ya chakula ni muhimu kama mazao mengine ya kibiashara.

Nchi nyingi tu (DRC, Burundi, South Sudan, Kenya, Comoro etc) zitaendelea kuhitaji mahindi kwa muda mrefu. Jukumu la Tanzania ni kujipanga tu.

Ilikuwa hasara tupu kwa nani? Kwanini unafikiri chakula sio mazao ya kimkakati? Kwanini mahindi hayawezi kuwa mazao la kibiashara?
 
Mi5 tena 🙄
 
Mafuta ya kula yakipanda bei ni fursa kwako mkulima. Sasa lima alizeti upige pesa. Kuhusu mahindi NFRA wamepewa pesa wayanunue. Tafuta vituo vyao ukauze.
Kuna mawili, inawezekana wewe ni kiongozi wa uvccm au wewe ni kula kulala hivyo mijadala kama hii ni vyema ukasoma tu comment za wengine kuliko kutoa mashudu kama haya.
 
Mkuu haka kauzi ni kazuri sana.
Kuhusu hili la afya asee baada ya muda tutaona hasahasa kwenye phamacy na nursing.
Wiki iliyopita nilikuwa nanunua dawa ya kikohozi kwa mtoto was miaka 5...!
Muuza akanishauri dawa ya Kinunua ,nikachukua box,nikasoma ineandikwa isitumiewe kwa mtoto chini ya Miaka 6!
Nikamuonesha akasema ...wao wanaiuza Sana wannachofanya no kupunguza dose!
Cha kushangaza alikiwa anaongea kwa kijiamini kabisa tena kwa maringo ya kisomi,kuonesha kuwa Mimi no mjinga!
Nikiondoka na hela yangu!
 
Kilimo unakijua au kilimo cha kwenye makalatasi brother? Huku niliko mvua ni ya kutosha lakini kwenye ekari kupata gunia 25 hakuna ni maneno tu ya wauzaji wa pembejeo. Miye mwenyewe ni mkulima mahindi ukiyahudumia vizuri na yakastawi kwa eka ni gunia 18 hadi 22.
Sasa kwa hesabu yako ya umwagiliaji ekari moja mtu avune gunia 50 nakataa kabisa labda huko America kilimo cha kwenye maabara lakini kwa Tanzania hakuna kitu hicho.
Maneno ya wataalamu husiyasikie nenda field utakumbuka maneno yangu
 
Kwa hio wakulima wasilipe kodi kabisa?.
Mkuu kwa taarifa yako mkulima analipa kodi sana kulikohata huyo mfanyabiashara. VAT inalipwa sana na hawa wakulima hasa kwenye bei mbaya za mbolea na pembejeo, mahijati mengine ya viwandani nk, maana ndio walaji wa mwisho na kutokana na umasikini wao wananunua kwa rejareja, kwenye minada na magulio huko kunatisha, kwenye, asilimia kubwa wanatibiwa hospitali za Umma huko kodi za madawa zinawahusu na mwisho wa siku KODI zote hizo haziwiani na mrejesho kutoka kwa mchukua kodi, zaidi zaidi atatakiwa apeleke shuleni sado 1 ya maharage na debe 1 la makande kwa chakula cha mwanae.
 
Them graduating thieves and murderes,look out now

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Dawa ni kuwa na commodity exchange na kuuza kwenye mifumo inayopigwa vita na kangomba.......

La sivyo gunia la mahindi litafika 15,000!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…