Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Mwalimu wa ushenzi ni Uganda ndio anafundisha CCM tokea kipindi cha magufuri.
Mnaweza kuona jambo dogo ila ukweli ni mchungu.
Mambo yanayoendelea ni mabaya zaidi.Maana imefikia watawala washakuwa mungu watu wa kutoa hukumu.
Sina mengi ila tunapoelekea usishangae vifo au mauwaji ya kimya kimya kwanza kwa polisi na wengine.