Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 2,103
- 1,419
Nachoamini Mimi ni kwamba Uganda hana fundisho lolote kwa Tanzania kwasababu hakuna cha kuifundisha....wanaofundisha haya yote wako hapa hapa nchini na utawajua kutokana na aina ya uongozi wao na siasa zao ambazo Kila uchwao wanahamasisha chuki, visasi na kuminya wengine...nchi hii itaharibiwa na sisi wenyewe tusimtafute mchawi nje ya sisi