Nchi iliyoshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote hapa Afrika ni Kenya

Nchi iliyoshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote hapa Afrika ni Kenya

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.

I'm not sure what Lazyland you are referring to, ila hongereni majirani. Naona mmewatupa Nigeria mbali pia.
 
Dont forget zezetas are Ze worldi champion of wali na chakula mzuri
Cata.
 
Kila La Heri Kenya Na Medali Tele Tele 😂😁🤣😅🤣😂😁
 
Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.

HAPA WATANZANIA HUWEZI SIKIA WAKIONGEA CHOCHOTE
 
Sisi tuna dhahabu tele Geita, Kahama na Tarime. Tuanze kushindania dhahabu wakati tunachimba wenyewe? Kazi yetu ni kuwauzia waandaaji halafu nyie maskini mkafukuze upepo kuishindania.
Mnaweza kuwa nazo lakini zinawasaidia nn?
 
Back
Top Bottom