Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Sio kweli.
 
Mwenyekiti ndo kila kitu. Hukumsikia Magufuli huwa anasema anaamua na kutegemea kaamkaje?
 

Watu wanaendelea na maisha kama kawaida na in fact wengi wamefurahi sana.

Sikiliza hapa

 
point tupu
 
Mi naamini huu uchaguzi umeizika ccm yenyewe itapotea majukwaani hasa ukizingatia haina tena ushindani
 
Mbona kuna wabunge wa upinzani tayari acha uongo!
 
Dah! yani ukijaribu kuangalia comments za international reporters juu ya uchaguz unabaki unacheka-majimbo karibu 160+ halafu upinzani wana 0,haijawah tokea hata Russia,wanatuona mandez tu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] hatujui hata kuiba
Sisi tunajiona wajanja.
Maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…