Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Hivi utanufaika nini wewe na mfumo wa chama kimoja!? Pumbavu
si ndio nyie mlidai mtaingia mtaani mpk damu imwagike mlinde kura?
Rais wenu kaenda kuaga kwao akitoka huko anarudi kwa wanaomlea Beliginya.
Ingia mtaani sasa ukangolewe mbupu hizo panya we
 
CCM wanapanga nani na nani wanamtaka bungeni this is too bad na naona Aibu sana ..... ni Aibu kubwa ambayo wanafanya .... ila wakurugenzi wanaangalia Kula yao .... alishasema magufuli nimekupa nyumba, gari, na mshahara nakulipa alafu unachagua upinzani ..... Mungu asimame kwa kweli tupo sehemu mbaya kuwahi kutokea. Ningekuwa na uwezo ningehama nchi
 
Dsm - Pwani - Moro - Dom - Mpaka Mwanza Kuna mradi wa sgr, Mwanza Kuna mradi wa daraja la kigogo - busisi, mladi was maji ya ziwa Victoria (ndugu zangu tuliomaliza sengerema miaka ya 2012) shida ya maji ilivyokuwa na mingine mingi
Sasa wewe ulienda Sengerema kusoma mimi huko ndiko nilikozaliwa huwezi nidanganya chochote.

Vijiji vya Sengerema hadi leo hii havina kushoto wala kulia.
Hiyo SGR kufika Morogoro tu bado huko Mwanza unakusikia eeeh?

Daraja la Busisi limeanza kujengwa lini au linajengwa Bukumbi ndio maana hatuoni?
Nimeuliza swali hiyo Pwani ina nini cha kuizidi Iringa jibu swali huwezi kalaze mapupu huko
 
Sikushangaa Ringo ,mpoki,Steve nyerere ,mwinjaku ,mcpilipili kuomba kuwa wabunge hakika wangenogesha bunge kwa vichekesho vyao
 
Watajiua kivipi wakati wana uhakika wa kushika madaraka milele hata pasipo ridhaa ya wananchi?.Na kwamba hata watafanye madudu gani hawatoki ng'o.Nadhani hilo ndilo linalowapa jeuri.
Bashiru wa PhD aliwashauri watumie dola kubakia kwenye dola
 
''Nchi imeamka ikiwa ni huzuni mkubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM''

Hizo huzuni zitoke wapi wakati mwaka huu ''tumesema sasa basiiii'' (in Lissu voice)

Sisi sio kama Lowassa aliyesema hawezi kuingiza watu barabarani!

Wahenga walisema, ''kufa kufaana''.

Wewe ukiwa na huzuni mwingine ana furaha!

Tanzania kuna vituko!
Mkuu hawa chadema ni wajinga sana.

Imagine zile id zilizokuwa zina hanikiza humu kwamba Lisu siyo Lowasa, hatamuachia Mungu eti leo id zile hata moja hamna.
 
Atakufa tu vimelea vimemchachalia Mpaka kwenye kucha. Hutu na TISS eti yamepanga upinzani wapewe viti vitano tu vya ubunge making kweli , usalama wa Taifa mnasukumiza mgonjwa wa milembe ikulu twice.
Vipi? Lisu nae kawa Lowasa?
 
Niko balazani kwangu nikiangaza huku na huko kuona kama kuna kundi lolo la vijana linalo andamana, lakini mpaka sasa sijaona kikundi wala kikundu.

Kiufupi vijana munapenda sana kutiana ujinga.
Mukiwa nyuma ya keyboard munatamba sana, likija swala la kufanya, muna mbwela.
Haya, sisi tunaendelea kuongoza nchi.
Kuna jamaa anatumia id ya Lord denning sijui yuko wapi saa hii
 
Sasa naanza kuona siku mpya za mabadiliko kwa mbali,Lissu na CDM wamefanikiwa kwa zaid ya 90% katika kuileta Tanzania mpya kwa kuifanya dunia kuielewa Tanzania in its true nature-The way it is.Believe me-Mambo mengi yatabadilika kuelekea demokrasia ya kweli ikiwemo sheria kandamiz kuondoka,the biggest looser is gvt and kijani and this election ime propel dearth ya CCM kama chama,Just wait and see aftermath ya hii election and you will prove it.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwaambia lazima mje na ngonjera kama hizi na mtaenda nazo hadi 2025 manapigwa mnakuja na nyingine tena
 
Back
Top Bottom