kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kinachotokea Leo hii Tanzania kuandikwa na kuripotiwa Duniani vibaya kwa miaka mitano mfululizo ni matokeo yakutoandaa viongozi na kukosekana kwa exposure; zamani viongozi walikuwa wanachanganywa waliokulia nje na waliokulia mazingira ya ndani ili wapeane mbinu zakisiasa na kujua namna yakutatua matatizo.
Leo hii nchi inaongozwa na watu wote waliokulia ndani na ambao awajawahi kuwa na position kwenye taasisi yoyote Duniani. Leo nchi imeweka wazee pembeni wamebaki wazee ambao wasipokaa kimya vijana wao watatimuliwa.
Ni aibu kuona Duniani wanatuandika kwa mambo ya ovyo ovyo tu na tunajidanganya kwamba wanatuonea wivu. Tumejenga mfumo ambao watu wote wenye madaraka makubwa wameyapata kwa bahati mbaya, awajawahi kuyatafuta na Wala awajawahi kuyaweka maanani.
Na kwa Hali ilivyo Leo hii ni vigumu nchi kurudi kwenye raamani ya Dunia kwa sababu wasomi n wazee waliopaswa kukemea haya wamekaa kimya wanakula pensheni.
Niwaombe wazee wa CCM kama mnataka watoto na wajukuu wenu waishi kwa amani Tanzania kemeeni matendo ya chama chenu, mkijidanganya ipo siku watoto wenu mliowaandaa kutawala watashindwa kutawala.