kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
mmh ! Tuache utumwa, hakuna aibu/laana kuu kama ndoa za jinsia moja puu!Just imagine tulikuwa na rais anayehubiria watu kujifukiza. Aibu kweli kweli.
Rais alikuwa anahubiri ushirikina!!!!!?
Angalau huyo alikuwa na misimamo inayojulikana, huyu haeleweki kuwa ni popo au ndege, taabu tupuJust imagine tulikuwa na rais anayehubiria watu kujifukiza. Aibu kweli kweli.
Rais alikuwa anahubiri ushirikina?
Hakuna ushirikina ule ni utamaduni, ushirikina ni mwanaume kumfanya mke mwanaume mwenzake hii sio sehemu ya utamaduni wetuJust imagine tulikuwa na rais anayehubiria watu kujifukiza. Aibu kweli kweli.
Rais alikuwa anahubiri ushirikina!!!!!?
Tanzania ambayo rais anatumia jeshi la polisi kuzuia madai halali ya katiba, kwenye mkutano wa amani. Lakini anashindwa kutumia hilo hilo jeshi la polisi kukamata wahalifu waliojiunganishia bomba la mafuta hapa mjini.Wewe unataka Tanzania ipi? Hebu kaa kwa kutulia kabisa
Huo utamaduni umeisha baada ya yeye kuelekea motoni?Hakuna ushirikina ule ni utamaduni, ushirikina ni mwanaume kumfanya mke mwanaume mwenzake hii sio sehemu ya utamaduni wetu
Hivi ile kesi imeishia wapi? Kuna mkono wa mkubwa pale sio bureTanzania ambayo rais anatumia jeshi la polisi kuzuia madai halali ya katiba, kwenye mkutano wa amani. Lakini anashindwa kutumia hilo hilo jeshi la polisi kukamata wahalifu waliojiunganishia bomba la mafuta hapa mjini.
Kabisa, maana IGP alijifanya ataleta taarifa mpaka leo yuko kimya. Cha ajabu jeshi la polisi linaona fahari kutumika kwenye mambo yasiyo na madhara kwa nchi,bali hatari kwa viongozi majizi wa kura.Hivi ile kesi imeishia wapi? Kuna mkono wa mkubwa pale sio bure
Nadhani ile faini ingepunguza tozo kwa asilimia mkubwa ili iwe fundishoKabisa, maana IGP alijifanya ataleta taarifa mpaka leo yuko kimya. Cha ajabu jeshi la polisi linaona fahari kutumika kwenye mambo yasiyo na madhara kwa nchi,bali hatari kwa viongozi majizi wa kura.