TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Imagine makamu wa Rais anajiudhuru kihuni kihuni tu,kamasio uhuni ni nini?,baada ya kujiudhuru haieleweki yupo wapi, hajakabidhi ofisi,hajaonekana kizimkazi,huyu kimama ataishi kama digidigi na familia yake kama aabahatika kumaliza kipindi chake.
Mtu kama Wasira anasema wazi kabisa Nchimbi tumemtimua kwakuwa anazungumzia katiba wakati sisi hatutaki katiba,tunashindwaje kuema kwamba hata barua wameandika wao?,tutashindwaje kusema wao ndio walio mficha?
Kama kiongozi wa juu kabisa anakutwa na maswahibu haya vipi watu wa chini huku?