Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Wana JF na Watanzania wenzangu,
Naangalia taarifa ya habari StarTV wanaonyesha mazoezi ya Polisi na JWTZ katikati ya mji wa Bukoba!
HII picha inasikitisha saana na ina ashiria hali ya hatari sana huko tuendako!
Kwa sheria za Jeshi iwe Polisi au JWTZ mazoezi ya kijeshi/kivita aghalabu hufanyika porini ili kuepusha madhara yanayoweza kuwapata kama kulipukiwa na silaha za moto au bomu kwa raia lakini pia kutoweka hadharani siri na mbinu za kijeshi! Haingii akilini leo hali ni tofauti kwa sasa tu ati ni kukabiliana na UKUTA!!
Hii ni aibu kwa Utawala huu wa awamu ya 5!
Pengine sasa tunaelekea kwenye kile alichotabiri Baba wa Taifa Mwl.Nyerere(RIP) kuwa tukianza dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu na ukiianza hutaacha na Baba alisema hiyo dhambi itawatafuna na akasistiza na ACHA IWATAFUNE!
Rais JPM amedhihirisha na ameonyesha wazi kwa kuifanya dhambi hii ya Ubaguzi kwa Vyama vya upinzani na hii dhambi lazima itatutafuna!