Tetesi: Nchi imeingia kwenye laana ya Baba wa Taifa

Tetesi: Nchi imeingia kwenye laana ya Baba wa Taifa

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
6,710
Reaction score
9,063
Wana JF na Watanzania wenzangu,
Naangalia taarifa ya habari StarTV wanaonyesha mazoezi ya Polisi na JWTZ katikati ya mji wa Bukoba!
HII picha inasikitisha saana na ina ashiria hali ya hatari sana huko tuendako!
Kwa sheria za Jeshi iwe Polisi au JWTZ mazoezi ya kijeshi/kivita aghalabu hufanyika porini ili kuepusha madhara yanayoweza kuwapata kama kulipukiwa na silaha za moto au bomu kwa raia lakini pia kutoweka hadharani siri na mbinu za kijeshi! Haingii akilini leo hali ni tofauti kwa sasa tu ati ni kukabiliana na UKUTA!!
Hii ni aibu kwa Utawala huu wa awamu ya 5!
Pengine sasa tunaelekea kwenye kile alichotabiri Baba wa Taifa Mwl.Nyerere(RIP) kuwa tukianza dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu na ukiianza hutaacha na Baba alisema hiyo dhambi itawatafuna na akasistiza na ACHA IWATAFUNE!
Rais JPM amedhihirisha na ameonyesha wazi kwa kuifanya dhambi hii ya Ubaguzi kwa Vyama vya upinzani na hii dhambi lazima itatutafuna!
 
1472320300844.jpg
 
UKUTA walitoa muda mrefu sana wa serikali kujiandaa kupiga biti, sasa watu wengi waliopanga kuandamana wameahirisha kwa uoga.

All in all nategemea hili swala liishe lipite tuone tutafika wapi, sipendi kuona nchi yangu inageuka kua Zimbabwe au nchi nyingine ambazo zimekua zikionea wivu uhuru uliokuwepo Tanzania kwa miaka mingi. Hii generation ya wajinga itapita, mabishano kama haya yanaweza kua yanaleta strength badala ya weakness.
 
Mkuu UKUTA ni fikra na kwakweli wamefanikiwa sana maana kila kona ni UKUTA!hiyo Sept 1inagombaniwa kama keki yote ni jinsi ujumbe ulivyofika!
 
Mkuu UKUTA ni fikra na kwakweli wamefanikiwa sana maana kila kona ni UKUTA!hiyo Sept 1inagombaniwa kama keki yote ni jinsi ujumbe ulivyofika!
Vijana naona mmeanza kuwa wapole.
 
Ukiuua kwa upanga na wewe utauliwa kwa upanga tu...km sio wewe basi kizazi chako after wewe...ni karma tu..sio maneno yangu.

Suleiman wa kwenye biblia hakuwa mjinga kumwomba Mungu hekima badala ya mali ktk utawala wake.......na ufalme wa Suleiman ulikuwa na kushamiri. Hakuna kitu kibaya km ufukara wa akili, maarifa na hekima hasa ktk uongozi mkubwa.......utapigwa na karma tu. Hii ni rule of thumb.

Hata wamarekani pamoja na ubabe wao, hawana jeuri km ya hii serikali....wanaheshimu binadamu wengine na wakikengeuka wanatubu haraka nakujirudi (atleast wao wameonyesha uwezo wakujirudi haraka ...na kuweka mambo sawa).
 
Back
Top Bottom