yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
MIchezo ina utaratibu wake na siyo vita, huwezi kumpangia mtu aipende timu gani hata kama wewe ni waziri , mimi nikilipa kiingilio nikiingia uwanjani nitajisikia wa kuzomea na wa kushangilia, duniani kote mpira upo hivyo, cheo kilimvaa akasahau mipaka ya kazi yake, hii michezo ina home and away, bahati mbaya tunamalizia away southafrica , alitaka kule southafrica watufanyaje kama tungewaletea ujinga wetu huku kwetuSalaam,kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri damas ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini,ya kuwa inabidi watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi,na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.kilichotokea ametukanwa matusi yoote,na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake,au kafanya kwa masirahi ya ccm.mie ninajiuliza,ni lipi hasa kosa la ndumbaro?. Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo?. Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
Mfumo ndio umejenga hivyo maama siku watu wakisimama Kama Taifa basi ndio mwisho wa sisiemu kutawala,hiyo ndio devide and rule inavyofanya kazi 😂😂😂Salaam,kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri damas ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini,ya kuwa inabidi watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi,na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.kilichotokea ametukanwa matusi yoote,na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake,au kafanya kwa masirahi ya ccm.mie ninajiuliza,ni lipi hasa kosa la ndumbaro?. Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo?. Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
Mambo haya ya ushabiki wa hovyo yameasisiwa na CCM yenyewe pamoja na Serikali yake. Wala usiwalaumu waliomshambulia huyo Waziri wako. Hayo ni mavuno ya kile ambacho CCM na Serikali yake ilipanda. They're reaping what they sow.Salaam,
Kuna sintofahamu imetokea baada ya waziri Damas Ndumbalo kutoa maelekezo kwa mashabiki wa sokq nchini ya kuwa inabidi Watanzania woote tusimame kwa ajiri ya nchi, na upinzani wetu wa simba na yangu tuuweke pembeni kwanza, mhimu ni simba na yangu tuziunge mkono kama taifa na kwa masirahi ya nchi.
Kilichotokea ametukanwa matusi yoote, na amedharirishwa utafikili hilo amelifanya kwa masirahi yake binafsi na familia yake, au kafanya kwa masirahi ya CCM. mie ninajiuliza, ni lipi hasa kosa la Ndumbaro?
Mbona nchi nyingine huwa tuna ona jinsi walivyo wazalendo? Ninasikitika huu mpasuko na mgawanyiko wa taifa letu.
Ni kweli chawa at workmfuasi wa Ndumbaro huyu,chawa wake,,,😂😅
Kwa kweli nina mashaka makubwa sana na elimu yetu sijui tatizo lipo wapi, utakuta mtu msomi ila anachoongea unajiuliza huyu elimu yake imemsaidia nini sasa, umbea umbea , chuki etc sijui ni poverty mentality sielewi aiseWasomi na professionals wanazidi kuhuzunisha kwa kuleta cheap politics kufaidisha matumbo yao na uchawa dhidi ya waliowateua.