Nchi imesimama kisa Kamati Kuu ya CHADEMA. Hongereni

Ni kama Yanga, kila mahali Simba kalala kulia MARA kushoto, kaamka nk. Huskii wakimsema Azam, wala Ihefu nk. UJUE KUNA KITU SIO PAKACHA
 
CHADEMA for life
 
Kamati ya kuvunja HARUSIπŸ˜‚
 
WANAPARURANA HUKO MBOWE NA LISSU HAPATOSHI MBWE KALA RUSHWA NA KIN AMSIGWA
 
Hivi Mbowe angekuwa dhaifu mngekuwa mnashirikiana kutaka astaafu nyie CCM?
Chama sio chenu, kiongozi sio wenu, hali chakula chenu na wenye naye hawajamchoka sasa mnawashwa na nini?
Ni wazi mnamuogopa kama muiogopavyo njaa!

Imagine Lipumba na Cheyo wako pale kabla ya Mbowe ..... MaCCM hawawaoni au ni kwa kuwa vyama vyao ni taasisi za CCM ....!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…