Nchi ina mihimili 3, mihimili 2 inayoongozwa na akina Mama na inatakiwa tufanye tafakuri yenye tija

Nchi ina mihimili 3, mihimili 2 inayoongozwa na akina Mama na inatakiwa tufanye tafakuri yenye tija

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
18,406
Reaction score
14,643
Nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Nchi yetu.

Wote tunatambua kuwa wanawake ni watu makini sana na waoga linapokuja jambo lisilo la maslahi kwa Nchi.

Hivi Karibuni mkataba wa Tz Bara na Dubai ulishughulikiwa na mihimili 2 inayoongozwa na wamama ikiwa ni Serikali (Mama SSH) na Bunge ( Tulia).

Unafikiri kwanini mkataba wa bandari na DPW ulipita kwao kama ulivyo ikizingatiwa ulikuwa na mapungufu makubwa sana na uliojaa utata.

Je, hawa akina Mama hawakuona? kwanini hawakuchukua hatua? kwanini uligubikwa na usiri mkubwa tangu awali?
 
Sijajua tujadili umama wao au tujadili mkataba au yote kwa pamoja...??
 
Marekani japo wanajitapa na haki sawa kwa wote ila kuna mistakes hawawezi fanya kwenye maswala nyeti ya taifa lile .
 
Ni mbaya zaidi kati ya hiyo mhimili 3 ,miwili kati yao ndio yenye maamuzi na ina endeshwa na Wanamama
 
Mwanamke ameumbwa kuwa msaidizi kwa kufanya mambo madogomadogo. Kiherehere chetu tumeamua kuwapa majukumu makubwa na wanaume ndio tumegeuka wasaidizi kwa msukumo wa kile tunachokiita usawa wa kijinsia.

Tusichokizingatia ni kuwa wanaotushawishi huo usawa wao wana mipaka, kuna maeneo hawawezi kujichanganya kujaza akina mama, wakati sisi kila sehemu tunawajaza kwa kasi. Eti kwa sababu tuna rais mwanamke basi utakuta kila sehemu kuanzia kwenye mihimili ya nchi, huko ccm n.k wanawake wanapewa kipaumbele tu hata kama uwezo wao ni mdogo kwa lengo kuu linalowekwa wazi bila hata soni kuwa ni kumfurahisha namba 1!
 
Back
Top Bottom