pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Nchi yetu.
Wote tunatambua kuwa wanawake ni watu makini sana na waoga linapokuja jambo lisilo la maslahi kwa Nchi.
Hivi Karibuni mkataba wa Tz Bara na Dubai ulishughulikiwa na mihimili 2 inayoongozwa na wamama ikiwa ni Serikali (Mama SSH) na Bunge ( Tulia).
Unafikiri kwanini mkataba wa bandari na DPW ulipita kwao kama ulivyo ikizingatiwa ulikuwa na mapungufu makubwa sana na uliojaa utata.
Je, hawa akina Mama hawakuona? kwanini hawakuchukua hatua? kwanini uligubikwa na usiri mkubwa tangu awali?