MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Mwigulu yumo humu. Kama anasoma basi niseme Mwigulu, yaani unatokaje kujisifia kuajiri walimu 7000
Huna akili una ongeza wahitimu zaidi ya laki 5 kila mwaka unaajiri 7000 kila baada ya miaka 5 utakuwa mwehuHakuna serikali iliyoajiri watu wake wote au walau nusu,wewe ndiyo una tope kichwani
Ajira hizi haziishii kwa watu 7,000 pekee. Kwa kuwa kila mfanyakazi ni tegemeo la familia, tunakadiria kuwa zaidi ya watu 28,000 watanufaika na fursa hizi ikiwakilisha athari chanya kwa jamii nzima.Mwigulu yumo humu. Kama anasoma basi niseme Mwigulu ni kichaa, yaani unatokaje kujisifia kuajiri walimu 7000
Unajua watu ni wachache kiasi gani?Ajira hizi haziishii kwa watu 7,000 pekee. Kwa kuwa kila mfanyakazi ni tegemeo la familia, tunakadiria kuwa zaidi ya watu 28,000 watanufaika na fursa hizi ikiwakilisha athari chanya kwa jamii nzima.
Bila ufujaji na anasa za viongozi ilikua inauwezo wa kutoa ajira zaidi ya hizo ndio maana yake hapoHakuna serikali iliyoajiri watu wake wote au walau nusu,wewe ndiyo una tope kichwani
Ndugu yangu tatizo si watu bali ni mifumo yetu, sasa tukiendelea kunyoosheana vidole hatutafika, ni kweli lazima tukosoane lakini baada ya kukosoana tuje na fikra zenye suluhisho ya matatizo, tatizo la ajira si kwa Tanzania pekee na ni tatizo la kimfumo ili tutoke hapa tulipo inabidi tuwe na fikra za kujikwamua hapa tuliponasa. Hebu tushauriane jinsi ya kuunda ajira ambazo zitafaidisha taifa kwa ujumla.Unajua watu ni wachache kiasi gani?
Nchi hii imekuwa na wapumbavu wengi sana. Mmoja wao ni wewe. Kukosa exposure na ushamba unawafanya mropoke tu kwenye mitandao. Ndio umepata smartphone juzi juzi nini?Mwigulu yumo humu. Kama anasoma basi niseme Mwigulu ni kichaa, yaani unatokaje kujisifia kuajiri walimu 7000
Wewe ni huna akili zaidi.Nchi hii imekuwa na wapumbavu wengi sana. Mmoja wao ni wewe. Kukosa exposure na ushamba unawafanya mropoke tu kwenye mitandao. Ndio umepata smartphone juzi juzi nini?
USA ipo na population ya watu 343.1 million walioajriwa serikalini ni 23.4 Million ni 6.70% tu ya watu wa USA ndio walioajiriwa serikalini.
Serikali ya china imeajri watu 50 million kati ya population ya watu 1.405 billion sawa na 3.56%
NB: Ficha upumbavu wako
Wewe ni mpumbavu. Acha watoto wa watu wakafanye kazi. Wewe endelea kulalamika JF.Wewe ni huna akili zaidi.
China na Marekani sehemu kubwa ya deni lao la ndani linatokana na kitu kinaitwa Mifuko wa Pensheni. Maana yake wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi wanachangia Uchumi na pato la Taifa.
Una watu million 70 unaajiri watu 7000 ambao mshahara wao ni laki 2, alafu unasema umeajiri