DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Population inaongezeka kwa kasi Sana maana masikini huwezi kuwatenganisha na kuwa na watoto wengi Sasa swali langu je.Fyetueni Watoto nitawasomesha bure.Ilisikika sauti ya kichaa mmoja ikihamasisha kuzaana kama Nzige
Wachache mno, yaani ongezeko la watu 12,000 kwa mwaka ndo waona wengi
Ndogo sanaKila mwezi kwenye kata moja kufyatuliwa watoto 1000 ni kidogo?! Kwa hali hiyo serikali itafanya kazi nyingine zaidi kujenga madarasa na kutengeneza madawati??
Umeongea vizuri sana,je hii nchi yetu ina watu imara kweli?Mifumo imara inajengwa na watu imara, katiba imara inajengwa na watu imara.
Maendeleo ya kasi/ Rapid economic development yana letwa na watu imara + mifumo imara.
Haina watu imara kwa sababu haina mfumo wa kutengeneza watu imara.Umeongea vizuri sana,je hii nchi yetu ina watu imara kweli?
Watu Kama nyie ndo hamna kitu upstairs so hamuwezi kuona Kesho mnaishi kama mmekufa wakati mpo haiNdogo sana
Kwa mtizamo wangu,namuunga mkono mtoa mada. Kama wasomi wangekuwa na akili basi hata hiyo population isingetuathiriKila mwezi kwenye kata moja kufyatuliwa watoto 1000 ni kidogo?! Kwa hali hiyo serikali itafanya kazi nyingine zaidi kujenga madarasa na kutengeneza madawati?
Kuna nchi zina population na maisha yanaenda chanya,kwa hiyo jamaa yupo sahihi.Watu Kama nyie ndo hamna kitu upstairs so hamuwezi kuona Kesho mnaishi kama mmekufa wakati mpo hai
Mkuu upo sahihi 100% shida ya nchi yetu ipo hapo.Haina watu imara kwa sababu haina mfumo wa kutengeneza watu imara.
Mimi ni mtu naye fuatilia sana siasa za kimataifa, nitakupa mfano wa nchi inayo tengeneza watu imara.
China ina fanya vizuri sana katika kutengeneza watu imara kupitia mfumo wake wa kisiasa, licha ya kuwa chama cha mapinduzi kina jaribu kunakili baadhi ya mambo kutoka China hasa hasa katika chama cha kikomunisti lakini waneshindwa kuendana na namna China inavyo tengeneza watu imara katika taifa lao.
Nakupa case study: jifunze kuhusu siasa za China, chama chao cha kikomunisti, michakato ya kupatikana viongozi, michakato ya kujiunga na chama na mfumo mzima wao wa uongozi kuna vitu bora utapata.
Uki fuatilia hivyo utanielewa nacho zungumza.
Je,kata ya Temeke kila mwezi ina watu wangapi wanaopoteza maisha.? Wanaokufa? Manake kinyume cha kuzaliwa ni kufa...it is a given fact.Kama kila mwezi katika kata ya Temeke wanazaliwa watoto 1000 je Serikali inabidi kuajiri walimu wangapi na kujenga shule ngapi?
Serikali imeanza kuzidiwa , population inaongezeka kwa kasi na life span inaongezeka hapa Mimi natajaribu kutaka nchi iwe na mifumo sahihi na sio nchi kuongozwa kwa matamko mfano hawa watoto elfu moja wanapozaliwa kila Mwezi katika kata ya moja maana yake huko Mbele kitatokea Matatizo ya ukosefu wa shule, zahanati n.k mfano shule nyingi za mjini darasa moja wanakaa watoto 100+ badala ya 45 so wanasiasa wamepiga usingizi wa pono.Hivi kuna mifumo thabiti?
Katika mifumo thabiti, naamini uwepo wa mfumo mmoja tuu, nao ni Binadamu. Na vilevile, haujitoshelezi kama mfumo thabiti....
Umegusia huko hivyo imenibidi kutumia mfano wa mifumo ninayojua.
Hatahivyo
Je,kata ya Temeke kila mwezi ina watu wangapi wanaopoteza maisha.? Wanaokufa? Manake kinyume cha kuzaliwa ni kufa...it is a given fact.
Kumetokea nini huko Temeke? Ni Mwanasiasa gani aliyetoka nje ya mfumo thabiti?