Nchi inaendeshwa kihuni. LATRA website hakuna majedwali ya nauli za sasa. Wanaficha nini?

Nchi inaendeshwa kihuni. LATRA website hakuna majedwali ya nauli za sasa. Wanaficha nini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nchi ya wahuni, kila mtawala ni muhuni.

Can you imagine website yao haina tables za nauli za sasa. Wanaficha nini?
Wanalenga nini kutoweka nauli kwenye website yao.

Kuna tables za 2024!
 
Nchi ya wahuni, kila mtawala ni muhuni.

Can you imagine website yao haina tables za nauli za sasa. Wanaficha nini?
Wanalenga nini kutoweka nauli kwenye website yao.

Kuna tables za 2024!
hiyo LATRA ni nchi gani gentleman?

kwani ukijiexpose jinsi usivyo na adabu wala heshima, chama chako kinakulipa zaidi ee gentleman? 🐒
 
Back
Top Bottom