OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa.
Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara ya 71 ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ewe mtanzania kuwa msitari wa mbele kuilinda Katiba ya nchi.
My Take
Hili dokezo nalielekeza kwa CAG Kichere aione kwenye jalada lake la hasara za nchi. Hasara hii inanisimamiwa ipasavyo na Spika Ndugai na Tulia ( Najisikia vibaya kuwaita spika)