Nchi inapitia wakati mgumu kuwahi kutokea. Gunia la mahindi limefika Tsh 180,000

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
 
Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inaputia wakati mgumu Sana lkn walivyo wajingq wanajikuta wanamsingizia Magufuli kila kitu lkn ukweli ni kwamba Samia hawezi kumfikia Magufuli hata kwa asilimia moja
Alio haribu uchumi wa nchi hi ni jiwe bado hatuja anza kuona impact ya jitihada za mama paka angalau miaka miwili ipite, jpm alivuruga kila sector na akauua ujasiliamali bora ulikoenda.
 
Kuna uwezekano hata hili baridi linalozungumzwa mlivyo na akili ndogo mtamtupia lawama JPM .
 
Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkn walivyo wajinga wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lkn ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
Wacha wakulima na sie tulambe asali.
 
Mleta mada huenda hata jembe linashikwaje hujui.
Mwaka Jana Hali ya mavuno haikuwa nzuri Sana, Hilo linajulikana, kakdhalika hata mwaka huu japo mavuno bado lakini huenda ikawa Kama mwaka Jana. Unadhani Mama Samia ndio analeta mazao.

Hizi Ni kampeni muflisi. Mark my words, Mama ata perform vizuri Sana kuliko mnavyodhani. Mikono yake haina damu za watu.
 
Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkn walivyo wajinga wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lkn ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.

Lifike hata laki tatu. CCM haina jipya ila tumeikumbatia tu.
 
Hii trend ya upatikanaji na bei ya mazao hasa nafaka inaweza ikawa janga kubwa huko mbeleni kama serikali haitaingilia kati, huku masokoni nyanya sado imefika elf 10.
 
Mleta mada huenda hata jembe linashikwaje hujui.
Mwaka Jana Hali ya mavuno haikuwa nzuri Sana, Hilo linajulikana, kakdhalika hata mwaka huu japo mavuno bado lakini huenda ikawa Kama mwaka Jana. Unadhani Mama Samia ndio analeta mazao.

Hizi Ni kampeni muflisi. Mark my words, Mama ata perform vizuri Sana kuliko mnavyodhani. Mikono yake haina damu za watu.

Acha kuzingua mukubwa! Tangu kama raisi huyu maza ata mvua nazo zikakata.... huyu mtu hajachaguliwa na raia wala Mungu, ndo sbabu mambo yanakuwa magumu zaidi!!! Tunamtaja sana jpm kwasababu kwa time yake mvua zilikuwa zakutosha sana..... na alizibiti mfumuko wa bei lakini pia Ndie raisi wa kwanza kwenye sentesi zake 10 lazima akumbushe tumuombe na Mungu!
 
Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkn walivyo wajinga wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lkn ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
Endelea kuendekeza ujinga unamuongelea mtu ambaye hatokaa arudi comparison of alive and non alive is ridiculous cha muhimu ni kupambana na kilichopo... hata yeye alivyokuwepo tulipambana na hali ile.
 
Back
Top Bottom