Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Alio haribu uchumi wa nchi hi ni jiwe bado hatuja anza kuona impact ya jitihada za mama paka angalau miaka miwili ipite, jpm alivuruga kila sector na akauua ujasiliamali bora ulikoenda.Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inaputia wakati mgumu Sana lkn walivyo wajingq wanajikuta wanamsingizia Magufuli kila kitu lkn ukweli ni kwamba Samia hawezi kumfikia Magufuli hata kwa asilimia moja
Huku wanamshangilia anaupiga mwingi sijui kitu gani?Noma sana vitu vinazidi kuwa juu kila siku..
Mkungu wa ndizi hapo Rau madukani bei gani?Huku wanamshangilia anaupiga mwingi sijui kitu gani?
Pira la maza ni biriani mashuti yake lampard na jeradi wakasome, make akilenga goli mpaka nyavu zinatoboka.Huku wanamshangilia anaupiga mwingi sijui kitu gani?
Kuna uwezekano hata hili baridi linalozungumzwa mlivyo na akili ndogo mtamtupia lawama JPM .Alio haribu uchumi wa nchi hi ni jiwe bado hatuja anza kuona impact ya jitihada za mama paka angalau miaka miwili ipite, jpm alivuruga kila sector na akauua ujasiliamali bora ulikoenda.
We umenyanganywa nini babu?Watanzania mnanyang'anywa kila kitu mnaachiwa Uhuru wa Kuchart mitandaoni basi mnafurahia sana .
Kama tulimsifu kwa kutuletea kupatwa kwa jua, na hili zigo la baridi hakuna jinsi lazima tumtwishe yeye.Kuna uwezekano hata hili baridi linalozungumzwa mlivyo na akili ndogo mtamtupia lawama JPM .
Wacha wakulima na sie tulambe asali.Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkn walivyo wajinga wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lkn ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkn walivyo wajinga wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lkn ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
Huku wanamshangilia anaupiga mwingi sijui kitu gani?
Mleta mada huenda hata jembe linashikwaje hujui.
Mwaka Jana Hali ya mavuno haikuwa nzuri Sana, Hilo linajulikana, kakdhalika hata mwaka huu japo mavuno bado lakini huenda ikawa Kama mwaka Jana. Unadhani Mama Samia ndio analeta mazao.
Hizi Ni kampeni muflisi. Mark my words, Mama ata perform vizuri Sana kuliko mnavyodhani. Mikono yake haina damu za watu.
Endelea kuendekeza ujinga unamuongelea mtu ambaye hatokaa arudi comparison of alive and non alive is ridiculous cha muhimu ni kupambana na kilichopo... hata yeye alivyokuwepo tulipambana na hali ile.Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkn walivyo wajinga wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lkn ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.