Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

Aliyeko ofisini na mwingine wa nyumbani tayari ni watu wawili kwa hiyo nguvu inakuwa ya watu wawili wanaendesha nchi nguvu inakuwa kubwa ndiyo tutafika kwenye maendeleo kwa haraka kuliko angekuwa mtu moja.
 
Rashidi wa kawe!?Juma awesu na Abdala ulega nani!!?

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Mkuu bado fukuto linaendelea kufukuta?

Tupe mrejesho wa kinachojiri mpaka sasa ikiwa itakupendeza, naona last seen yako ilikuwa jana.
 
WAHUNI KWAO UZALENDO NI MAFIII
 
🤔🤔
 
Hii yetu ni remote malaya mkuu
 
Nje ya mada ndugu Chawa
 
Waheshimu Baba na Mama upate miaka mingi na kheri Duniani.
 
Nje ya mada ndugu Chawa
Kumbe na wewe ukikosa sifa za kumpamba Abubakar wako, huwa unakimbilia huku kufukua makaburi 😂😂😂

Tunasubiri chopa ifungwe matairi ili wewe na Abubakar wako mrudi tena kwenye headline za mitandaoni 🤣🤣
 
Fafanua hapo kwenye "wanakubaliana na serikali kwa 100%,,,,"
 
Hadi sasa naona hilo dhahiri shahiri

1.Majaliwa kasim majaliwa
2.Bashiru Ally kakurwa
3.Dr. Hussein Mwinyi
4.Husein Bashe!!!?
5.Shamsy vuai Nahodha
6.Hammad masauni
7.
8....
 
Asee
 
Muislam pekee mwenye nguvu zaidi ya jpm ni majaliwa kasimu majaliwa!!

Au Bashiru kakurwa!!?

Nasubiri kujua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…