Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

Nakuelewa kiongozi, huo ndio ukweli mtupu.
Mama hata hakuangalia aliposema mm ni yule yule wa Magufuli watu walizizima kwa vificho na shangwe, ila alipoanza kusema analembu*a wakaanza kumpa mgongo
Mimi ushauri wangu mkuu mama arudi kuwa rafiki wa wananchi aachane na hao wasaka tonge alio nao huko juu,
 
Bado tu hamjamaliza matanga! Mtalia mpaka lini?

Unaonekana bado kuku mgeni wewe,hebu jipe muda basi walau uweze kuwaelewa baadhi ya Members humu.Si kila mtu ni wa kumbwatukia,tunaomjua [mention]MAGAMBA MATATU [/mention] tunaelewa umuhimu wa nyuzi zake.Huwa ni chache lakini zimeshiba.Kwakuwa unaweza kuserach hebu tafuta uzi wake mmoja aliuweka 2012 wa utabiri kuelekea 2015 ndiyo utamwelewa.
 
Sina ugeni Jf,elewa hivyo.
Ukiwa na akili utanielewa.
 
Unaposema“kaingizwa mkenge“ unamaanisha nini ? Kwamba hajui kinachoendelea ?
Kwamba hajui hatuna umeme wala maji?

Acheni kudanganya watu, kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa kiende, ulishajiuliza kwa nini Upinzani uko na Samia kwenye kila kitu? Uliona wapi Dunia hii Opposition parties wanakubaliana na Serikali kwa 100% ? Kwa nini sasa wanaitwa Opposition wana oppose nini ?
Wamekubali chanjo, wote wanampinga polepole, wote wanampinga gwajima, ya kweli
 
Mama akizinda kwa kuwa mgombea ndani ya chama basi dola itaamua nchi iende upinzani kwa mtu wanae mtaka wao!!
 
Alidanganywa na Msoga akaanza kubadili kila aliloacha Mwendazake, wakati Msoga nchi ilimshinda, rais akawa mtu wa kudharaulika, na wahuni wakaiba wanavyotaka.
Tunasubiri tuone kama Januari atatumbuliwa kwa sababu yeye 100% anawazia 2025.
 
Ni sawa na kile chama kinachoongozwa na yule mzungu baharia amstedam akishirikiana na lile tundu la kisu. Akisema mashoga waachwe wafanye ushenzi wao chama kinatoa tamko la kupinga oparation ya mashoga, akisema mwenyekiti wa chama hicho aendelee kukaa jela ili apate ya kuongea kwa mahabaria wenzake chama kinatoa tamko kuwa mwenyekiti wao asiachiwe na wala usiombwe msamaha wowote kwa yule anaetaka kumuachia, akisema wapambe na wanachama wa chama anachodhamini waingie barabarani kutaka sheria ya ndoa za mashoga basi chama kinaanza kupambana na serikali ili ipitishe haki na sheria za mashoga kufunga ndoa. Hapo sijazungumzia uuzaji wa madawa nk. Yani chama kipo Tanzania lkn muongozaji wa sera za chama yupo Ulaya. So kwa nchi hii ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.
Nilikuona upenuni,ulikuwa unavuta za wapi?
 
Nimetafakari sana na kuona kweli 2024 mbali,,,subirin hili fukuto likoke moto kwanza then jibu litakuja kabla ya 2024 tena mapema sanaa,,na nitawapa ukweli nini kitakachojili vzur,,

Lakin niwambie ukweli ,,kama mama angeendelea na system ya Magu hiyo ndio ingembeba na hiyo ndio ilikua sahihi kwake,,ameingiza wahuni bila kujua Magufuli alibebwa na upande upi wa kura katika hii nchi,

Kiufupi,,waliombeba Magu ni team Lowasa,,mama kawaondoa asilimia kubwa na ndio walikua na comflict of interest na mzee wa msoga tangu enzi za Kalamagi,Msabaha,Lowasa na hatimae Rostam Aziz,,

Pili mama kapoteza imani kwa kanda ya ziwa nzima bila yeye kujua na hapo ndipo ilikua turufu yake,,hutaweza kuelewa siku zijazo utaelewa,,

Tatu,,system ambayo ingempa nguvu mama ndani ya chama ilikua ni kumuacha Polepole abaki kama msemaji wa chama,,kafanya kosa kubwa kumuweka yule kijana ambae hana ushawishi mkubwa wa kisiasa na haiwez siasa ya fitina,,kama hulioni hilo utajua muda sio mrefu,,,sio kwamba Ndugai hajui anachokifanya,,anajua sana na anajua ni kwann sasa hiv Dodoma inafifuia wakat Magu aliifufua,,

Mwisho nasema,,baada ya mama ambae tunaamin kila atokapo muislamu anakuja mkiristo,,au akitoka mkiristo anakuja muislamu basi baada ya mama muislam anayekuja ni muislam tena,,tena atakua na nguvu kama ya Magu na siku zijazo nitawambia,,ila kwa sasa tuache fukuto lipigane,,na niwambie bado system ya Magu itamsumbua mama tena sanaa maana ameonekana kwenda kinyume na mwenzake,,ila kule mama anakoegemea hawana nia njema nae japo yeye hajui,
Mkuu Naona ndani ya chama watu wananyimana fomu za ugombea!!ndio ishara za fukuto lenyewe!!? halafu UMOJA party nacho kinaunguruma kinataka wanachama wapya!!unaonaje!!!?
 
rasmi huu ndo mwisho mwisho wa enzi wa ccm, kama huamini tukutane 2025 panapomajaliwa.
Nakubaliana na wewe 100% nilishangaa Mzee Makamba , Kiwete na Kinana wakinadi eti CCM imerudi kwa wenyewe nini maana yake? yaani JPM aliipoteza CCM mbona kichekesho? Kama sio JPM 2015 mbona Lowasa alishachukua nchi yaani majimbo yote ya DSM, Arusha, Mwanza, Mbeya Chadem ilichukua sasa inaposemwa CCM imerudishwa kwa wenyewe mimi natafsiri kwamba CCM imerudishwa ka mafisadi kwa hiyo walala hoi wale wa JPM tujiunge na chama kipya UP alafu tuone kama hatutashika serikali sie machinga na walala hoi ndio wengi tukijumuika na Sukuma gang.....
 
CCM haina radha tena. Imepoteza mvuto. haina dira wala muelekeo. Wenyewe ni akina nani hao ni ..................
 
Back
Top Bottom