Nchi kubwa kama DR Congo na Msumbiji hazipaswi kuwa na makao makuu ya nchi pembezoni

Nchi kubwa kama DR Congo na Msumbiji hazipaswi kuwa na makao makuu ya nchi pembezoni

Wewe mtoto wa mwaka 2000 nakukumbusha RDF imewahi kutoka kigali hadi kinshasa straight away kipindi RDF inafanya OPERATION KITONA.
Mzee hiyo Operation ilisaidiwa na Angola. Bila Angola Kabila asingeweza. Maana Maboutu alikuwa akisapoti Savimbi.
 
Kuachana na kila kitu kwenda Dodoma kwa matamko ya wanasiasa, hili pia inabidi kuzingatiwa :

KURUDISHA UHURU WA MIHILIMI MITATU YA DOLA TANZANIA, KATIBA ITAMKE KILA MHIMILI UWE NA MAKAO YAKE KTK MIJI TOFAUTI

Dodoma ibaki kuwa makao ya mhimili wa Bunge / parliament / National assembly ili mhimili huu uendelee kuwa huru.

Dar es Salaam iwe makao makuu ya serikali ya Muungano wa Tanzania ili muhimili wa dola usiote tena mizizi mpaka ndani ya mhimili wa Bunge kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano Bunge kumezwa na mhimili wa dola.

Mji wa Arusha uwe makao makuu ya mhimili wa Mahakama Kuu ili jaji mkuu na mahakama ya rufani wabaki huko mbali siyo kila siku wanahudhuria hafla za wafanyakazi wa serikali kuu na mikoa wakiapishwa na kwa namna hii ya mgawanyo wa mihimili, Mahakama iwe huru toka minyororo na jinamizi lililoundwa ktk awamu ya tano. Arusha ni makao ya korti ya Afrika Arusha | Search Results | African Court on Human and Peoples' Rights , EACJ www.eacj.org , UN Korti za masuala ya maovu dhidi ya binadamu International Residual Mechanism for Criminal Tribunals May Conclude Most Cases by May 2021, Its President Tells Security Council | Meetings Coverage and Press Releases hivyo Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania Judiciary of Tanzania | Home watakuwa wanabadilisha mawazo na wasomi wenziwe kuhusu namna bora ya Mahakama za Tanzania kujiendesha kwa uhuru na kumaliza mrundikano wa kesi kwa kuwa kila siku wanahudhuria hafla zote za mhimili wa serikali .


The Many Capitals of South Africa​

South Africa's three capital cities are strategically placed throughout the country, each hosting a separate segment of the nation's government. When asked about a single capital, most people would point to Pretoria.


  • Pretoria is the administrative capital. It is home to the executive branch of the South African government, including the President of the Cabinet. The city also hosts many departments of government and foreign embassies.
  • Located in the province of Gauteng, Pretoria is in the northeast part of South Africa and near the city of Johannesburg.
  • Cape Town is the legislative capital. It is home to the country's legislative parliament, including the National Assembly and National Council of Provinces.
  • Located in the southwest corner of South Africa in the province of Western Cape, Cape Town is the second-largest city in population.
  • Bloemfontein is considered the judicial capital. It is home to the Supreme Court of Appeal, the second-highest court in South Africa. The Constitutional Court (the highest court) is located in Johannesburg.
  • Located in the province of Free State, Bloemfontein is in the center of South Africa.
 
Wewe mtoto wa mwaka 2000 nakukumbusha RDF imewahi kutoka kigali hadi kinshasa straight away kipindi RDF inafanya OPERATION KITON

Nchi hizi sehemu kubwa ya huduma kwa watu ni kwenye majimbo. Watu hawategemei Washington kuwaletea huduma, kuwaundia sera na kuwatolea maamuzi. Wanategemea serikali ya jimbo iliyo makao makuu ya jimbo. Na kurahisisha hili majimbo mengi ya Marekani yalihakikisha makao yao makuu yanakuwa katikati ya Jimbo.

Pia kwa Canada, zaidi ya nusu ya wacanada wanaishi ukanda huo wa Ottawa. So mji wao mkuu kuwa hapo ni kuwa centre.
 
Kwani hujui mzee kabila safari yake ilianzia Goma mpk kishansa?..kwenda kumtoa Mobutu?
Mobutu alichokwa na wanajeshi wake. Walipoona ana kansa ya kibofu walijua hana muda mrefu, watafute future yao kwingine. So Kabila ni kama alikuwa anatembea tu kuelekea Kinshasa, hakuna upinzani wa maana.
 
Back
Top Bottom