Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unahisi sisi ni Masikini sana ila nakuhakikishia sisi tuna nafuu kubwa sana kwa hapa Afrika. Nimepata kutembea nchi 34 za hapa Afrika ni hatari sana, tuipende nchi yetu angalau tuna uhakika wa kula na kuvaa vizuri, vifaa vya ujenzi ni nafuu nkKama TZ ipo namba 10 na ufukara huu uliopo hizo nchi nyingine si wanakula mchanga kabisa?
Inasikitisha sana,rasilimali muhimu na zenye thamani zipo ndani ya bara hili lakini ndiyo bara lenye umasikini uliolowea,siasa imeharibu sana mambo mengi.Wewe unahisi sisi ni Masikini sana ila nakuhakikishia sisi tuna nafuu kubwa sana kwa hapa Afrika. Nimepata kutembea nchi 34 za hapa Afrika ni hatari sana, tuipende nchi yetu angalau tuna uhakika wa kula na kuvaa vifuri, vifaa vya ujenzi ni nafuu nk
Ukiangalia maisha ya mtu mmoja mmoja vijijini na mijini kwenye sekta binafsi kwenye nchi za Tanzania, Kenya walivyo maskini wakutupwa na hizi nchi zipo kwenye mataifa 10 yenye GDP kubwa Africa, ni wazi waafrika tupo maskini mahututi.Ni kweli. Wao wengine wapo vibaya zaidi.
Gap la watu wanaokufa kwa njaa nalo pia linazidi kuongezeka [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
1. Nigeria
2. South Africa
3. Egypt
4. Algeria
5. Morocco
6. Kenya
7. Angola
8. Ethiopia
9. Ghana
10. Tanzania
Wewe unahisi sisi ni Masikini sana ila nakuhakikishia sisi tuna nafuu kubwa sana kwa hapa Afrika. Nimepata kutembea nchi 34 za hapa Afrika ni hatari sana, tuipende nchi yetu angalau tuna uhakika wa kula na kuvaa vifuri, vifaa vya ujenzi ni nafuu nk
Kama TZ ipo namba 10 na ufukara huu uliopo hizo nchi nyingine si wanakula mchanga kabisa?
Ukiangalia maisha ya mtu mmoja mmoja vijijini na mijini kwenye sekta binafsi kwenye nchi za Tanzania, Kenya walivyo maskini wakutupwa na hizi nchi zipo kwenye mataifa 10 yenye GDP kubwa Africa, ni wazi waafrika tupo maskini mahututi.
Kama TZ ipo namba 10 na ufukara huu uliopo hizo nchi nyingine si wanakula mchanga kabisa?
Tatizo ni viongozi wetu wanatanguliza matumbo yao,badala kutumia raslimali zilizooo kuwaletea maendeleo wananchi wao.Inasikitisha sana,rasilimali muhimu na zenye thamani zipo ndani ya bara hili lakini ndiyo bara lenye umasikini uliolowea,siasa imeharibu sana mambo mengi.
Umesababisha nicheke nusra nikojoe.....jameni nisamehewe maana ni majanga yaani.
Bint unakojozwa kirahisi hivyo!!!?
🙁😟
Kiongozi niko nimesoma Kenya ,Kwa kipato cha mmoja mmoja Kenya ni maskini sana kuliko Tanzania.
Hilo halina mjadala..lakini bado standard ya maisha ipo chini sana..Bado naamini tz maisha ni bora kuliko kenya kwa watu wenye vipato vya chini
Kwanini people's welfare kisiwe ndo kitu kinachowekwa mbelembele zaidi?..Hizi GDP's ni tarakimu tu zisizo na maana kwa mtu wa chini..Nchi GDP yake inaongezeka huku maisha yanazidi kuwa magumu..ujinga mtupu.Kwenye uchumi haiko hivyo. Hiyo tarakimu ya GDP haina uhusiano na ustawi wa jamii au raia (citizens welfare). Mfano hapo kwenye hiyo orodha hakuna Botswana, Namibia wala Guinea. Nchi ambazo ustawi wa watu wake uko juu karibia nchi zote hapo, kasoro za Afrika kaskazini.
Hivyo hiyo orodha haimaanishi ustawi au ubora wa maisha wa raia. Hivyo, hiyo ni tarakimu tu ambayo imekuwa ikibishaniwa muda mrefu kama ina maana yoyote, pia uhusiano na ustawi wa raia wa nchi husika.
CC: Tony254