nina mashaka na nchi za Afrika magharibi na KenyaKama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
Wala siyo namba 6 tuko namba 5 bila chenga.Aaah wapi Tanzania tupo namba 6 msitutanie
Yani wakenya, eti wakenya wame..... Uongo asee
Kwani kuna kitu gani tunapata au tunafaidika nacho tukiwa kwenye nafasi ya juu? Hebu nisaidieni tafadhali
amini usiaminiKenya hapana
Takwimu za UONGO hizo....RWANDA... SOUTH Africa...LESOTHO..TANZANIA Ethiopia..ELITREA. ..KENYA...BOTSWANA.. Mauritius.... Comoro...Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
Namba moja hadi nne sawa wametuzidi ila kuanzia tano hapana asee, mi sikubali
Nigeria wabaya.....Africa kusini wazuri lakini wanene....mnene hawezi kuwa mrembo....Ivory coast sawa, lakini hatupishaniAchana chezea wa Nigeria aisee... Kule kuna watoto wana shape....
Mmh BAK huko kuna watoto wakare, ngozi zao laini, rangi za chocolate, shape ndo mahali pake wale ni wazuri aseeMie ningewaondoa pia Somali na Eritrea. Ni kweli wana wazuri lakini si kihivyo ukilinganisha na nchi yetu.
Somalia hata mimi nawaondoa sambamba na Kenya, Nigeria.Mmh BAK huko kuna watoto wakare, ngozi zao laini, rangi za chocolate, shape ndo mahali pake wale ni wazuri asee
Navuta picha huo uzuri wa wanawake wa kijaruo upo wapi mpaka wawe juuYani wakenya, eti wakenya wame..... Uongo asee