last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Twende ze hague au FIFA kwa Kenya akina okot aaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakenya siyo.Yani wakenya, eti wakenya wame..... Uongo asee
Wap hyo tuyajengeMbona umeshangaa ulidhani mi mwanamke wa dar?
Njoo Mara mura uone vichuguuuMademu wa kibongo chura wa kubahatisha wengiii wao wako flat... Afu hats kisuraa bado bado... Jamani tuweni wa kweli eti
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
Humu jamvini mlidaiwa kuweka kwenye avatar zenu picha za warembo wa mitandaoni, hamwoni kama ninyi ndiyo washiriki wakubwa wa kudharau urembo wenu!Wametuonea bhana, hebu huo utafiti urudiwe
Aaah wapi Tanzania tupo namba 6 msitutanie
Aaah wapi Tanzania tupo namba 6 msitutanie
Nakubaliana nawe mkuu, kenya sitamani hata kwenda kwa ajili ya kupata warembo si bora hata niende uganda nkakutane na wale weusi ka jembe jipya watanipa katerelo niridhike.Hao wote unaowataja hamna kitu wametuzidi weusi tu....
Watoto wazuri ni hao wa juu, Ethiopia, Eritrea, Somalia na Rwanda, hao wengine makanyaboya tu wewe eti Nigeria thubutuuuuu View attachment 416997
Daah kenya wameipita tz kwa wajaluo wao wale na kikuyu kweli?.
Hii made in tz![]()
Aaah wapi Tanzania tupo namba 6 msitutanie[/quot kale ka harufu ka wolipa kamewashusha
Ni ni wacute??Wakenya wanatuzidi riadha tu, huku kwingine hapana sisi sio watu wa mchezo mchezo, wasitutanie