Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
Tafiti iko wrong
Tz haiwezi kuwa ya 9 labda hapo 10
Ila sijui walikua wanaangalia uzuri kstika categor gani
 
Sasa hivi tunaweka mawowo feki, kope feki, kucha feki, ngozi feki hakuna uhalisia wa urembo wetu. Tujikubali kwanza then tutaonekana warembo. Of course wanaoonekanaga na kuwekwa kwenye rating ni wale wanaojulikana zaidi kama masuper stars lakini wakienda umang'atini watatuweka watanzania namba 2
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
Kenya nao wapo????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sasa hivi tunaweka mawowo feki, kope feki, kucha feki, ngozi feki hakuna uhalisia wa urembo wetu. Tujikubali kwanza then tutaonekana warembo. Of course wanaoonekanaga na kuwekwa kwenye rating ni wale wanaojulikana zaidi kama masuper stars lakini wakienda umang'atini watatuweka watanzania namba 2
Huo ndio ukweli kilakitu bandia.
 
Haiwezekani,mi nadhani tulipaswa kuwa namba moja....au wewe hujioni kama unapaswa kuwa namba 1?
Namba1 subutu wanaangalia mambo mengi mfano kimo kirefu na maumbo ya wastani sio chura.
 
Mi ni mwanamke wa mkoani
Mkoani inategemea mkoa wenyewe sasa maana jamaa kanitisha mmmh wengine tuna roho za huruma kumdunda mtu bila sababu utadhani pambano la boxing mmmh napengine kibao kigeuke kama uko mpakani upande wakenya nisije kuwa mhanga wakipigo yaani the Hunter is now the hunted.
 
Ha ha haa,hapo wamewapendelea wakenya,wana sura ngumu hao,nilikua kule kisumu na eldoret ni balaa.alafu weusiiii

Oya mkuu, hizi ranking za kishenzi msituweke tafadhali, labda mambo ya education, development, innovativeness na vitu vingine ambazo zitatutoa kwenye umasikini, hizi zenyu za sijui bongo fleva, sijui nani mrembo na hajapaka mkorogo, sijui shepu, tumewaachia nyie wabongo, that's the best ranking most of y'all lames and fruits jump on, mambo mengine mnakwepa kama mkulu mikutano ya kitaifa.

Alafu pia ingekuwa haki unaweka picha yako, usijumlishe ati wakenya sura ngumu na umejificha kwenye moniker na picha ambayo sio yako, angalau tuonyeshe urembo wako we justly judge you, labda hapa ni story tu unapiga na binafsi una sura kiatu hata wakukumalizia uchu hupati.
 
ha ha haa!..pole mkuu welcome to Tanzania.
 
Back
Top Bottom