Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.


Nigeria should never be above Tanzania na Kenya not even in the top 15 in Africa. High number of their women look like men.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cheeesus!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] co mambo ya kucheka ila ndo ukweli wenyew ..sasa kama hadi hiyo list inawatoa povu c uchizi wenyew ..yan ata hawafikirii africa kuna nchi 54 hapo zimetajwa nchi 10 je nchi kama mozambique,morocco,mali,algeria huko kuna sungura tope na vihande[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wabongo bhana dada zetu mmefanyiwa hisani bado mnamind
 
Kwanza tujue criteria za urembo zilizo tumika ku judge ni zipi? wanasemaga urembo wa kitu upo kwenye macho ya anae tazama.. napita tu...
 
Naona nchi yenye huyu bidada ndo itakuwa namba 1. Na hoping ni Mtanzania
 

Attachments

  • 1476303871683.jpg
    1476303871683.jpg
    19.3 KB · Views: 270
Sasa wakenya wamezidi nini warembo wetu? Mahaga na weusi?.
 
Back
Top Bottom