binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
S.A naonaga wengi wazuri, wanarangi fulani hivi Chocolate.Tanzania ni ya tano watoe afrika ya kusini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
S.A naonaga wengi wazuri, wanarangi fulani hivi Chocolate.Tanzania ni ya tano watoe afrika ya kusini
wabongo wengi achana na kujichubua tuna uzur wa asili na tumechanganyika makabila mengi tofaut na kwengineS.A naonaga wengi wazuri, wanarangi fulani hivi Chocolate.
Ahsante asee, huyu mtafiti aje kanda ya ziwa huku akitoka nadhani tutaingia tatu bora 😀Tena wajinga kabisa...Ivory Coast? Kenya? Nigeria??????? labda waseme wazuri kwa kujipodoa...hakuna wanawake fake kama wa hizo nchi tatu..and I have been to all...Aisee Wadada wa Kitanzania ni wazuri...ukitembea tembea ndo utaweza ku-appreciate hilo!
Aliyefanya hii research mwambieni hatutaki ujinga!!!! Kenya? Mzuri kwao ni Vera Sidika ambaye tunajua umbo lake kalipata wapi...sasa huku kwetu wa hivyo wako wengi balaa...natural no make up! aaargh tunaharibiana siku tu na hizi takwimu uchwara.
Hao wote unaowataja hamna kitu wametuzidi weusi tu....Wabongo mmeumbika ila kwa watoto wa Nigeria weka mbaliii.... Mtawakimbiza Wakenya... Warundiii... Wacongo... Wa Sudan kusini... Waganda... Na wengine wengine... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ile rangi yao asee naipenda sana, ni asili, hali ya hewa au kuna vitu wanapaka.... Kuna mtu aliniambia eti lotion zao tehS.A naonaga wengi wazuri, wanarangi fulani hivi Chocolate.
Evelyn Salt ... Ni ww huyu ama....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hao wote unaowataja hamna kitu wametuzidi weusi tu....
Watoto wazuri ni hao wa juu, Ethiopia, Eritrea, Somalia na Rwanda, hao wengine makanyaboya tu wewe eti Nigeria thubutuuuuu View attachment 416997
Teh kama ni lotion watuletee na sisi basi, nadhani ni hali ya hewa.Ile rangi yao asee naipenda sana, ni asili, hali ya hewa au kuna vitu wanapaka.... Kuna mtu aliniambia eti lotion zao teh
Ndo maana napinga hii listEvelyn Salt ... Ni ww huyu ama....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Wana rangi nzuri sanaTeh kama ni lotion watuletee na sisi basi, nadhani ni hali ya hewa.
duh! nimecheka sana.Afu msituchukulie poa ohooo
Eritria kiboko bongo mtasubiri sana pale[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee watoto wa bongo ni warembo hatari! Kwangu bado sijaona wazuri alafu wanaojuwa mapendeko kama dada zetu aisee.
Acha kabisa ndugu. Mabinti wa bongo wazuriEritria kiboko bongo mtasubiri sana pale[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]