feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,189
Atleast kila nchi angetuwekea mrembo mmoja kusindikizia utafiti wakehii habari bila picha ni kama tunakula ugali bila mboga tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atleast kila nchi angetuwekea mrembo mmoja kusindikizia utafiti wakehii habari bila picha ni kama tunakula ugali bila mboga tu!
Achana chezea wa Nigeria aisee... Kule kuna watoto wana shape....Namba moja hadi nne sawa wametuzidi ila kuanzia tano hapana asee, mi sikubali
Afu msituchukulie poa ohoooAchana chezea wa Nigeria aisee... Kule kuna watoto wana shape....
Wabongo mmeumbika ila kwa watoto wa Nigeria weka mbaliii.... Mtawakimbiza Wakenya... Warundiii... Wacongo... Wa Sudan kusini... Waganda... Na wengine wengine... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Afu msituchukulie poa ohooo
Eti Kenya imeipiku Tanzania.
Tembea uone mengi mkuu. Kama umeshawahi kufika kenya utanielewa.Jamani msipime uzuri kwa kuangalia masupasta, models wa kwe movie. Nenda shuleni, college, sokoni, nyumba za ibada ndio ujue ukweli
Kenya kwa wabongo wanakaa mkuu... Wabongo kuna watoto atiiiiTembea uone mengi mkuu. Kama umeshawahi kufika kenya utanielewa.
Aaah wapi Tanzania tupo namba 6 msitutanie
Tanzania ni ya tano watoe afrika ya kusiniTena wajinga kabisa...Ivory Coast? Kenya? Nigeria??????? labda waseme wazuri kwa kujipodoa...hakuna wanawake fake kama wa hizo nchi tatu..and I have been to all...Aisee Wadada wa Kitanzania ni wazuri...ukitembea tembea ndo utaweza ku-appreciate hilo!
Aliyefanya hii research mwambieni hatutaki ujinga!!!! Kenya? Mzuri kwao ni Vera Sidika ambaye tunajua umbo lake kalipata wapi...sasa huku kwetu wa hivyo wako wengi balaa...natural no make up! aaargh tunaharibiana siku tu na hizi takwimu uchwara.