Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hatupanic tunasimamia ukweli uliofichwa 😀😀duh! nimecheka sana.
mbona mnapanic hivyo wadada?
Made in Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatupanic tunasimamia ukweli uliofichwa 😀😀duh! nimecheka sana.
mbona mnapanic hivyo wadada?
Aaah wapi Tanzania tupo namba 6 msitutanie
tunawakubari warembo wetu,
Rwanda kiboko hata tukisimama na wanaume wa kinyarwanda sie ndo tutakuwa kama wanaume teh wale jamaa ni wazuri aseetunawakubari warembo wetu,
ila kwa wale watoto wa rwanda mmh!!.
wewe hata ukisimama na dokta lemmy dokta lemmy anaonekana king'wasu.Rwanda kiboko hata tukisimama na wanaume wa kinyarwanda sie ndo tutakuwa kama wanaume teh wale jamaa ni wazuri asee
Panya we....wewe hata ukisimama na dokta lemmy dokta lemmy anaonekana king'wasu.
what is ma baby name, panya, panya ooh panya.Panya we....
Nigeria watoto wa kike ni panya... Hope pia ww ni panya... [emoji3] [emoji3] [emoji3]Panya we....
Maana ake ndo nini?Nigeria watoto wa kike ni panya... Hope pia ww ni panya... [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Heeh kumbe Evelyn Salt uko Kanda ya Ziwa!!?Ahsante asee, huyu mtafiti aje kanda ya ziwa huku akitoka nadhani tutaingia tatu bora 😀
Panya is the center. The light . To be a Panya is to be beautiful, in an unconventional, almost intimidating way.Maana ake ndo nini?
sidhan km afrca kusin, kenya, ivory na nigeria km wanatupta kwa waremboKama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
manake umejitukana, sawa na mtu anaemtukana mtu mwingine kwa kusema "matako yangu" [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maana ake ndo nini?
Mbona umeshangaa ulidhani mi mwanamke wa dar?Heeh kumbe Evelyn Salt uko Kanda ya Ziwa!!?