Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Hiyo list iko kwenye mitandao karibu mwaka wa tatu na imeanzishwa naWakenya alafu wakajipachika wao katika hiyo list.Kiukweli wanawake wa Kenya wamechachuka utafikiri wamekula ndimu
 
bora wangechubua tu.matumbo makubwa kama mabomu.manyonyo yana ovateki kitovu
Pole mkuu kwa kuishi kwenye mkoa wenye wanawake walevi waota vitambi.Ndio dada zako wa mkoani kwako inabidi tu ukubali lakini usigeneralize,mabinti wa TZ ni wakali huwezi kufananisha na makopo ya Kenya au Nigeria
 
Swaziland na Zimbabwe kuna vimwana wa hatari lkn sjaziona kwenye orodha yako mkuu.
 
Yaani Kenya, ivory coast, Nigeria na Ghana hakuna kitu kabisa. Huko kwa Ethiopia, Eritrea, Somalia na Rwanda hatuna ujanja.
 
Mademu wa kibongo chura wa kubahatisha wengiii wao wako flat... Afu hats kisuraa bado bado... Jamani tuweni wa kweli eti
Weeee flat hapa bongo ziko mko mmoja tu Usiniulize ni upi, japo siku hizi wanachanganyika wanaoana na makabila mengine si haba mabadiliko yanaonekana hopefully miaka ya baadae huo mkoa nao utachomoka
 
Aaaaah hatari aisee kwa mwendo huo wacha Kenya na Nigeria wawe juu maana hakosi alama ya kovu, mimi ninahuruma sana sitaweza kumdunda kila siku kuonesha upendo.
Afu nyie na huko Mara ohooo bora hata mnisingizie nipo Kenya
 
Back
Top Bottom