Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na wasichana warembo barani Afrika

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
nina mashaka na nchi za Afrika magharibi na Kenya
 
Maneno Bila picha ni Indicator ya kupigasoga, wanawake wote wazuri ila utamu ni tofauti
 
Wakenyaaaa mmedanganya Kenya wanasura nzito kama ugali wa muhogo aka udaga au makopa
 
wanawake wa kenya huwa 98% sio wazuri kabisa weusi wao mbaya wa kijijini plus washamba ,not sexy wakijifanya strong ,ila ukimkuta mzuri ujue kachanganyia na wasomali waeritrea
 
Kwani kuna kitu gani tunapata au tunafaidika nacho tukiwa kwenye nafasi ya juu? Hebu nisaidieni tafadhali



hahahahha tunatangaza utalii wa ndani mkuu,pia tUnajitangaza KIMATAIFAAAA...Period
 
Nikicheki kabila letu walivyo wazur vile afu eti tupo namba 9....apana hii sio kwel
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
Takwimu za UONGO hizo....RWANDA... SOUTH Africa...LESOTHO..TANZANIA Ethiopia..ELITREA. ..KENYA...BOTSWANA.. Mauritius.... Comoro...
 
Tanzania inatakiwa iwe ya Sita halafu wamesahau Algeria kule tunatafuta wabaya maana wengi ni wazuri
 
Mie ningewaondoa pia Somali na Eritrea. Ni kweli wana wazuri lakini si kihivyo ukilinganisha na nchi yetu.
Mmh BAK huko kuna watoto wakare, ngozi zao laini, rangi za chocolate, shape ndo mahali pake wale ni wazuri asee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom