Nchi Kumi Zinazoongoza kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Barani Afrika

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,114
Reaction score
6,309
Wadau Leo tupate mawili matatu kutoka kwenye huu uzi:
Pale Kinondoni kwa Mama Ntilie, jua kali linawasha kama pasi ya mchina. Kwenye meza ya mbao iliyozungukwa na viti vya plastiki vimepoteza rangi, jamaa mmoja anaitwa Shomari alikuwa anapiga stori kali na washikaji wake Bonge, Mimi, na Mzee Juma. Wote tulikuwa tunakula wali maharage kwa hamu, huku redio ya Mama Ntilie ikipiga zile nyimbo za zamani za Mr. Nice.

Shomari: Jamani, mnaambiwa kuna nchi zingine huku Africa, watu wanaishi na virusi vya ukimwi kwa wingi hadi inasikitisha. Wengine siyo kwamba hawajui, ni kwamba mazingira yanawalazimisha kuishi kwa hatari kila siku.

Bonge: Aisee! Kweli kabisa. Kuna haja ya watu kufungua macho. Hili si jambo la mzaha. Tuwe tunazungumza zaidi kuhusu haya mambo.

Na hapo ndipo stori hii inazidi kuwa nzito… Hebu tuingie sasa kwenye list yenyewe:

Nchi Kumi Zinazoongoza kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Barani Afrika (2025)

1. South Africa
• Inaongoza barani Afrika. Zaidi ya watu milioni 7 wanaishi na VVU.
Licha ya changamoto, ni moja ya nchi zinazoongoza pia kwa upatikanaji wa dawa za ARVs.

2. Nigeria
• Idadi ya watu ni kubwa, hivyo hata asilimia ndogo ya maambukizi inatafsiriwa kama idadi kubwa. Takribani watu milioni 2 wanaishi na VVU.

3. Mozambique
• Ina changamoto kubwa, hasa maeneo ya vijijini ambapo elimu juu ya UKIMWI bado ni finyu.

4. Tanzania
• Takribani watu milioni 1.6 wanaishi na VVU. Mafanikio makubwa yamepatikana kwenye utoaji wa huduma za afya.

5. Kenya
• Inajitahidi sana kupambana na maambukizi mapya, hasa kwa vijana.

6. Zambia
• Idadi ya maambukizi ni kubwa kwa wanawake na wasichana wa rika la ujana.

7. Zimbabwe
• Historia ya kisiasa na kiuchumi imechangia hali ya UKIMWI nchini humo.

8. Uganda
• Ilikuwa moja ya nchi za kwanza Afrika kufungua mjadala wazi juu ya UKIMWI. Uhamasishaji umesaidia, lakini bado kuna kazi.

9. Malawi
• Moja ya nchi ndogo lakini ina kiwango kikubwa cha watu wanaoishi na VVU.

10. Ethiopia
• Idadi ya watu ni kubwa, lakini serikali imewekeza kwenye elimu na kinga.

VVU havina sura. Kujua hali yako ni hatua ya kwanza ya kulinda maisha yako na ya wengine.

Source: Wikipedia
 
Tanzania ngono na ulawiti ndio mtindo wa maisha
 
Screenshot_20250409-173638.jpg
Screenshot_20250409-173758.jpg
 
Back
Top Bottom