Nchi makini huwa haitetereki, Kenya acheni uzandiki

Status
Not open for further replies.
Tuko vizuri. Hatutaki unyakunyaku. Magufuli hoyeeeeeeeeeeeeeeeee😎😎😎😎😎😎😎
 
Hii movie latest ya Bongo sijaielewa, naona malori ya kijeshi, wanajeshi, korosho, na rais anayejisifia asivyobabaishwa, na ametoa makataa/deadline ya jumatatu saa kumi atafanya kitu.
 
Ninachojiuliza, serikali ikishazinunua korosho inazipeleka wapi (maana soko la korosho duniani limedorora)!😳😳😳 au ndiyo zitagawanywa mashuleni na ofisini tuzitafune?... 😀😀😀
 
Kila mara mimi husikia eti Tz ni magwiji wa lugha ya Kiswahili ila nikisoma wanachoandika humu naona majanga. Alafu lugha za mama hamziwezi, Kiingereza hamkiwezi, Kiswahili hamkiwezi sasa ni lugha gani mtaweza?
 
Lugha za Aliens...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom