Nchi makini huwa haitetereki, Kenya acheni uzandiki

Status
Not open for further replies.
Neno Mtanzania ni nomino kamili, hujalitendea haki hapo.
ulishawahi kukiri dhahiri shairi kwamba ulijifunza kuzungumza/kuandika kiswahili sanifu ulipokuwa unaishi hapa tanzania na pia kupitia majukwaa mbalimbali ya jamiiforum.

wewe ni mwanafunzi wetu wa kiswahili, acha kujitutumua kwa kujaribu kutoa ushuzi mzito ilhali unasumbuliwa na tumbo la kuendesha.
 
Ulipaswa kutumia herufi kubwa kwenye kila mwanzo wa aya, halafu haujazingatia ipasavyo alama za uakifishaji.
Kwaheri maana naona unapata hasira badala ya kuchangamkia darasa.
 
Kuna kasoro sehemu ambayo internet warriors wa CCM mnaficha au ipo nje ya uwezo wenu, this is too good to be true, haiwezekani wanabiashara wote wasusie hesabu nzuri kama hizi ambazo ni mabilioni ya faida za wazi tu. Au unless iwe hao wanunuzi wachache ni pre-qualified hairuhusiwi wengine kuja na kununua, maana kuna matajiri wana mambilioni zimekaa idle kwenye mabenki wanasubiri fursa kama hizi wazitumie, sasa iweje hii yenu kila mmoja wao amekaa pembeni.
Kuna wengi tu wamezinunua, the problem is we work hard and produce them too many tonnes.
 
Ulipaswa kutumia herufi kubwa kwenye kila mwanzo wa aya, halafu haujazingatia ipasavyo alama za uakifishaji.
Kwaheri maana naona unapata hasira badala ya kuchangamkia darasa.
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kuna kasoro sehemu ambayo internet warriors wa CCM mnaficha au ipo nje ya uwezo wenu, this is too good to be true, haiwezekani wanabiashara wote wasusie hesabu nzuri kama hizi ambazo ni mabilioni ya faida za wazi tu. Au unless iwe hao wanunuzi wachache ni pre-qualified hairuhusiwi wengine kuja na kununua, maana kuna matajiri wana mabilioni zimekaa idle kwenye mabenki wanasubiri fursa kama hizi wazitumie, sasa iweje hii yenu kila mmoja wao amekaa pembeni.
Ndiyo maana tunawaita walanguzi na wengi huenda ni middle men. Last year korosho ziliuzwa kwa kilo sh. 4,000 mpaka 4,500.
Halafu unatakiwa ujue soko kubwa la korosho ni China na Marekani. Hawa wanakuja kununua wanaenda kuwauzia wengine huko Vietnam then Vietnam wanauza china. Nje huoni sisi tunaweza uza moja kwa moja china!?
Korosho zinafaida kubwa mno. So if private wameshindwa GoT inaweza kuzinunua na ikafanya biashara.
 
Hujajibu swali langu, binafsi mimi ni mwanabiashara japo sijafikia kiwango hicho cha hao lakini sote huwa tunatumia principal moja, kwamba kila fursa ikijitokeza, lazima uichangamkie mapema ikiwa bikira. Nakumbuka nimewahi kuchangamkia fursa ya vendors waliokua wamezinguana na serikali, yaani walitupwa nje na serikali ikatangaza fursa kwa yeyote yule (hao wa mwanzo walikua pre-qualified), tulipigana vikumbo na kukanyagana kunyakua hiyo fursa ambayo ilitutoa kimasomaso.

Kitu sielewi kwa hii ya korosho kama mahesabu yake yako laini bila figisu kama unavyojaribu kutuaminisha, inakuaje mabwenyenye wengine wa Dar, tofauti na hawa aliogombana nao, naona wote chali, hakuna anayejitokeza wote wamemuacha Magufuli anahangaika na malori ya wanajeshi na mikwara. Kuna kitu hakipo sawa, aidha labda mtauza kwa hasara ili kuondoa aibu na kupiga kimya bila kutolea taarifa serikali ilipata nini.
 
Tatizo nyie wakenya mnakuwa too concerned na Tanzania, huku mkitoa maneno ya vijembe kujionesha mnajua biashara kumbe vichwani hewa tu.

Biashara ya korosho siyo kama biashara zenu za uchuuzi wa mali za wazungu. Kwanza unatakiwa uijue biashara siyo kuchangamkia tu. So jumatatu ni kesho wewe uwe mvumilivu tu. Kama hawatanunua kuanzia 3,000 GoT itanunua na itaziuza kwenye masoko ya china kwa faida kubwa.

So wewe endelea na nyimbo zenu hizo, huku ukiwa unafuatilia mambo ya TZ na kuachana kabisa na mambo yenu. Ni upumbavu uliopitiliza. Badala ya kufuatilia issue za familia yako kila kukicha unafuatilia maisha ya jirani yako. Huo tunauita ubwege.
Kila kukicha unaongelea CCM kana kwamba unaijua sana TZ na CCM. Kama mmeshindwa nchini kwenu kujenga chama bora cha kisiasa msidhani na nchi zingine ni kama nyie.

Mtaacha lini utoto na utumwa wa kifikra!? Serikali inachokifanya ni kumkomboa mkulima wa TZ kuacha kunyonywa. Halafu wewe mkenya uliyeshindwa unakuja kupayuka ovyo ovyo kwenye mitandao. Watu wanaojua national business na waliosoma development study wanaelewa namna ya mataifa yaliyokomaa kifikra yanajikwamua toka vifungo vya unyonyaji.

Nyie endeleeni kufita makalio ya wazungu. Tanzania will never do that.
 
Kufita makalio ya wazungu na hivi majuzi mlitetemeka baada ya wazungu kutoa maoni yao kuhusu ushoga Tanzania? Give us a break. Wanafiki
 
Hehehehe!! Kwa jinsi ulivyofyatuka ni wazi huna jibu la swali langu, mimi nimekiri sijui chochote kuhusu mambo ya korosho, nyie wenyewe mumeleta uzi kwenye Kenyan news kututambia hayo ya korosho, nimeuliza swali la msingi, umepanic na kufyatuka, mleta mada naye keshaukimbia uzi wake.
Haya kwaherini.
 
This is not a Kenyan news bro. This is a Tanzanian media. Huko kenya talk mnaongelea masuala ya Trump na ukabila tu. Hakuna vitu vya maana mnajadili ndio maana wewe unapata wasaa wakushida humu JF.
So you have to admit that Tanzanians are more intelligent than kenyans.
Second huna swali unalouliza zaidi ya kutaka kuwavua nguo viongozi wetu. Sisi watanzania kamwe hatuwezi kuongelea vyama vyenu vya siasa, maana ni mambo yenu ya ndani. But you guys everyday mnaongelea siasa za Tanzania hii inaonesha ni namna gani Tanzania ipo juu yenu.

Hii ni message kwa walanguzi wajue kuwa unyonyaji umeshapitwa na wakati. Na wajue all humans wanahitaji maisha bora.

Nyie wakenya endeleeni kuwa na matabaka sijui itawasaidia nini. Maana hata uwe na mali kiasi gani, uwanyonye watu wengine utakufa na hakutakuwa na zaidi ya hapo.

Ni bora tuheshimiane, na kuthamini mawazo ya nchi zingine ndio tutaishi vizuri. Lakini huu u much know wenu, ni upumbavu uliopitiliza. Nchi yenu hamlimi korosho, kidomo domo cha nini!? Tuacheni tunafanya kwa ajili ya watanzania na siyo wakenya ebo.
 
Kufita makalio ya wazungu na hivi majuzi mlitetemeka baada ya wazungu kutoa maoni yao kuhusu ushoga Tanzania? Give us a break. Wanafiki

Nani alitetemeka,nikuletee speach ya waziri wa mambo ya ndani,baada ya hao wanaume zenu kutema hizo cheche???

Achana na tz wewe hii tuliisha waambia sio level zenu.nakupa ofa kama unaye kaka yako yeyote analiwa,mlete aje atangaze biashara hadharani,uone atakumbwa na nini.
 
Mashoga wapo wengi Tanzania lakini hawawezi jitokeza
 
Ww zuwena ni demu wa kwamtogole you know nothing when its come to economics
Acha upumbavu wako humu. Wewe unajua kitu gani zaidi ya kupayika tu. Kitu gani cha maana umecomment humu. Go to hell
 
Acha ujinga nchi inadondoka uchumi unafurahia ?? Na mashaka na elimu yako cunt
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom