MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ninachojiuliza, serikali ikishazinunua korosho inazipeleka wapi (maana soko la korosho duniani limedorora)!😳😳😳 au ndiyo zitagawanywa mashuleni na ofisini tuzitafune?... 😀😀😀
Nawahurumia hao wafanya biashara maana kitakachowakuta, yaani ikitokea Magu aangukie pua kwa hili la korosho baada ya maonyesho ya ubabe kiasi hicho, itawabidi hao wafanya biashara kuihama nchi.