Nchi makini huwa haitetereki, Kenya acheni uzandiki

Status
Not open for further replies.
Ninachojiuliza, serikali ikishazinunua korosho inazipeleka wapi (maana soko la korosho duniani limedorora)!😳😳😳 au ndiyo zitagawanywa mashuleni na ofisini tuzitafune?... 😀😀😀

Nawahurumia hao wafanya biashara maana kitakachowakuta, yaani ikitokea Magu aangukie pua kwa hili la korosho baada ya maonyesho ya ubabe kiasi hicho, itawabidi hao wafanya biashara kuihama nchi.
 
Mjiandae kuwapokea, maana sioni sehemu nyingine ya kukimbilia zaidi ya Kenya...
 
Kila mara mimi husikia eti Tz ni magwiji wa lugha ya Kiswahili ila nikisoma wanachoandika humu naona majanga. Alafu lugha za mama hamziwezi, Kiingereza hamkiwezi, Kiswahili hamkiwezi sasa ni lugha gani mtaweza?
Sasa wewe pimb unajielewa kweli!??,kwaiyo na wewe unafkr umeandika kiswahili fasaha !!??Kubalini tu kenya hamjui kiswahili!! na ushahidi ni kwamba sisi tukiandika kiswahili fasaha huku mnaona ni kibovu kwasababu hamjui kiswahili....Hahahahahahahahahahahaha,
 
Pimb
Kwaiyo
Unafkr
Kwasababu

Ushahidi wa mtu asiyeelewa lugha ya Kiswahili.
 
Kila mara mimi husikia eti Tz ni magwiji wa lugha ya Kiswahili ila nikisoma wanachoandika humu naona majanga. Alafu lugha za mama hamziwezi, Kiingereza hamkiwezi, Kiswahili hamkiwezi sasa ni lugha gani mtaweza?

Teh teh teh tihiii
engineer you need to distinguish between formal and informal communication.
mbona ha wewe kwenye aya hii umeandika vululu vululu tu.

check
alafu instead of halafu
hamkiwezi instead of hamukiwezi
hamziwezi instead of hamuziwezi
lugha ya mama instead of lugha ya asili

zingatia, pamoja na mapungufu ya waandishi wetu, bado TANZANIA ni kitovu cha KISWAHILI sanifu katika sayari hii.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Teh teh teh tihiii
all these for only spelling errors.
JemedaliX2 pia ni 'spelling error'? [emoji15] Kuna siku nilikuwa maeneo flani kule Rombo nikasikia wakisema eti hiyo ni lugha ya makada. [emoji1]
 
Kila mara mimi husikia eti Tz ni magwiji wa lugha ya Kiswahili ila nikisoma wanachoandika humu naona majanga. Alafu lugha za mama hamziwezi, Kiingereza hamkiwezi, Kiswahili hamkiwezi sasa ni lugha gani mtaweza?
Tukiandika kiswahili sanifu humu hamtang'amua kitu sawa mjomba
 
Ninachojiuliza, serikali ikishazinunua korosho inazipeleka wapi (maana soko la korosho duniani limedorora)!😳😳😳 au ndiyo zitagawanywa mashuleni na ofisini tuzitafune?... 😀😀😀

Endelea kujiuliza.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ninachojiuliza, serikali ikishazinunua korosho inazipeleka wapi (maana soko la korosho duniani limedorora)!😳😳😳 au ndiyo zitagawanywa mashuleni na ofisini tuzitafune?... 😀😀😀
Siku hizi umekuwa mtaalamu wa masoko ya korosho!? Researches zimeshafanyika na inajulikana nini cha kufanya.
Raw cashew kwenye soko la dunia ni $2.5 mpaka $2.8 per kilo ambayo ni zaidi ya sh. Tsh. 5500.
Sasa wewe jamaa unakuja tu kupayuka hapa kufurahisha umati ili upate followers na likes. Ni uzandiki wa hali ya juu.

Serikali ikinunua hizo kwa Tsh. 3,000 na ukifanya cost ya kusafirisha na mambo mengine sh. 500 kwa kika kilo hapo cost itakuwa 3500 kwa tani 200,000 cost itakuwa 700,000,000 mpaka 800,000,000
Tukiuza tani 100,000,000 kama raw tutapata 550,000,000 then utabakiwa na tani 100,000 ambazo unaweza kuzibangua na kuziuza zikiwa zimebanguliwa na kupata faida zaidi.

Nivyema kuacha uzandi. Kama wewe ni mfanya biashara wa korosho haisaidii kwetu. Huwezi kuwa mlanguzi tunakuangalia tu.
 
Kuna kasoro sehemu ambayo internet warriors wa CCM mnaficha au ipo nje ya uwezo wenu, this is too good to be true, haiwezekani wanabiashara wote wasusie hesabu nzuri kama hizi ambazo ni mabilioni ya faida za wazi tu. Au unless iwe hao wanunuzi wachache ni pre-qualified hairuhusiwi wengine kuja na kununua, maana kuna matajiri wana mabilioni zimekaa idle kwenye mabenki wanasubiri fursa kama hizi wazitumie, sasa iweje hii yenu kila mmoja wao amekaa pembeni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom