Nchi maskini na ujinga wa Treni za umeme

Nchi maskini na ujinga wa Treni za umeme

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3

Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni kuvusha mademu toka Dom.

Nimepitia habari kwenye kurasa tofauti na nimeshangazwa kuona vijana wamekuwa wana-comment na wanafurahi kuvusha mademu wa Dodoma (Maskani ya Milembe).

AMA KWELI UJINGA HAUTOISHA KWA VIJANA MASKINI.....
 
Mimi binafsi nimefurahi sana ntakuwa napandisha mzigo wa majeneza kutoka hapa Dodoma kuwahi wateja Dar
 
Back
Top Bottom